secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Wanawake wengi wanalia kwa sababu ndoa ndiyo mwisho wa kudanga na wanaume wanalia kwa sababu ndoa ni shimo la tewa ndani yake Kuna joka la mdimu.Hisia tuu, mwingine haamini km kaoa, mamba ni mengi,
Binafsi siwezi Lia wala kupiga goti
Siwezi pigia mwanamke goti siwezi kulia siku ya ndoaWanawake wengi wanalia kwa sababu ndoa ndiyo mwisho wa kudanga na wanaume wanalia kwa sababu ndoa ni shimo la tewa ndani yake Kuna joka la mdimu.
We jimwambafai tu halafu siku ya harusi ububujikwe na machozi kama Luka mwashambwa.Siwezi pigia mwanamke goti siwezi kulia siku ya ndoa
Sim yangu ilidukuliwa mkuu..πMzee umeanza kuchanganyikiwa?π€£π€£π€£π€£π€£
Unasema tu Hivi Ulishawowaga ukaifeel hio Hali wewe??????π€¨ππππ
Hua na feel nikiwa inside your thingy ukifanya mchezo chozi unaliona Hilo kwa raha...Unasema tu Hivi Ulishawowaga ukaifeel hio Hali wewe??????π€¨ππππ
π€πβ€οΈβ€οΈHua na feel nikiwa inside your thingy ukifanya mchezo chozi unaliona Hilo kwa raha...
π€£π€£Mwanamke akilia ni sawa ila sio mwanaume, unaonesha udhaifu hata safari hujaianza, sidhani km mwanamke wangu atakuja kuona nalia mbele yake bora nikalilie chooni