Ni kipi kinachozingatiwa na Wizara ya Elimu kwenye kubadili mitaala ya vitabu?

Ni kipi kinachozingatiwa na Wizara ya Elimu kwenye kubadili mitaala ya vitabu?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Kwa mfano vitabu vilivyobeba hizi hadithi vilikuwa na mapungufu gani mpaka mkaviondoa?
  • Sadiki na Chitemo
  • Bwana Sikuelewi
  • Muwa uliozamisha meli
  • Hawafu mwenye nguvu
  • Muwa uliozamisha meli
  • KAMA UNATAKA MALI UTAYAPATA SHAMBANI
Na vitabu hivyo ni darasa la 3 na 4 lakini hadi leo TUNAVIKUMBUKA.

Maana huu uliopo ni utumbo ambao hata mtoto sasa hivi ukimuuliza hakumbuki kitu.
 
"Most of the shadows of this life are caused by standing in one's own sunshine."
--Ralph Waldo Emerson
 
Hivo vitabu havikua na msaada wowote vilikua vinatupotezea muda tu. Misamihati mipya mingi sana imeongezeka ambayo haimo kwenye ivo vitabu. Vijineno vya TEHAMA vimejazana watoto wanavisikia mtaani so vinahitaji kuwekwa kwenye vitabu vipya.
 
Back
Top Bottom