AbuuMaryam JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,577 Reaction score 4,637 Mar 8, 2021 #1 Kwa mfano vitabu vilivyobeba hizi hadithi vilikuwa na mapungufu gani mpaka mkaviondoa? Sadiki na Chitemo Bwana Sikuelewi Muwa uliozamisha meli Hawafu mwenye nguvu Muwa uliozamisha meli KAMA UNATAKA MALI UTAYAPATA SHAMBANI Na vitabu hivyo ni darasa la 3 na 4 lakini hadi leo TUNAVIKUMBUKA. Maana huu uliopo ni utumbo ambao hata mtoto sasa hivi ukimuuliza hakumbuki kitu.
Kwa mfano vitabu vilivyobeba hizi hadithi vilikuwa na mapungufu gani mpaka mkaviondoa? Sadiki na Chitemo Bwana Sikuelewi Muwa uliozamisha meli Hawafu mwenye nguvu Muwa uliozamisha meli KAMA UNATAKA MALI UTAYAPATA SHAMBANI Na vitabu hivyo ni darasa la 3 na 4 lakini hadi leo TUNAVIKUMBUKA. Maana huu uliopo ni utumbo ambao hata mtoto sasa hivi ukimuuliza hakumbuki kitu.
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Mar 8, 2021 #2 "Most of the shadows of this life are caused by standing in one's own sunshine." --Ralph Waldo Emerson
"Most of the shadows of this life are caused by standing in one's own sunshine." --Ralph Waldo Emerson
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Mar 8, 2021 #3 Hivo vitabu havikua na msaada wowote vilikua vinatupotezea muda tu. Misamihati mipya mingi sana imeongezeka ambayo haimo kwenye ivo vitabu. Vijineno vya TEHAMA vimejazana watoto wanavisikia mtaani so vinahitaji kuwekwa kwenye vitabu vipya.
Hivo vitabu havikua na msaada wowote vilikua vinatupotezea muda tu. Misamihati mipya mingi sana imeongezeka ambayo haimo kwenye ivo vitabu. Vijineno vya TEHAMA vimejazana watoto wanavisikia mtaani so vinahitaji kuwekwa kwenye vitabu vipya.