Ni kipi kinafanya Watanzania kutoaminika nchi za watu?

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Mo mp5 once again hope ni wazima Wana Jf.

Sifa ya mtanzania ni ukarimu,ucheshi na upendo lakini imekuwa tofauti pale unapokuwa nchi za watu mtanzania ni mtu ambaye haaminiki kabisa hasa kwenye deals mbalimbali.

Ukiona mtanzania yupo nje ana ishi vizuri ujue ana kipaji mchezaji mpira,muigizaji,msanii au Kama unaenda kwenye project Maalumu.

Nchi ambazo mtanzania haaminiki
Saudi Arabia
Nigeria
South Africa
Korea
Brazil
Dubai
Ethiopia
Sudan
China
Congo
Uingereza
 
Watanzania watu wao wanaaminika pamoja na Serikali yake hata linapokuja swala la usalama wowote juzi kati muuaji Thabo kajaribu kuhonga huko kwingine kapita kaja kukamatiwa Tanzania tena walianza kufuatiliwa toka wanatoka Daslm mpaka Arusha ..Watanzania wanafanya biashara kubwa China,SA Brazil yupo mswahili anatuma body za bus kuja Afrika ni vile mmejifungia bandani na mkisafiri mnakutana na wasiokua na mipango mnakuja na hitimisho hapa...pana Mtanzania miaka ya nyuma alikua na share kubwa I&J ya SA kampuni kubwa ya SA hapo mkisha Shiba mnaongea chochote tu..
 
We jamaaa fanya tasmin kwanza yan hadi congo mhhhh

Wakati congo wa tz tunashi kibos
Tuko bar na polis tunakunywa nao bia na bunduki Zao wanatuachia sisi tumebeba mzee
 
Mo mp5 once again hope ni wazima Wana Jf.

Sifa ya mtanzania ni ukarimu,ucheshi na upendo lakini imekuwa tofauti pale unapokuwa nchi za watu mtanzania ni mtu ambaye haaminiki kabisa hasa kwenye deals mbalimbali.

Ukiona mtanzania yupo nje ana ishi vizuri ujue ana kipaji mchezaji mpira,muigizaji,msanii au Kama unaenda kwenye project Maalumu.

Nchi ambazo mtanzania haaminiki
Saudi Arabia
Nigeria
South Africa
Korea
Brazil
Dubai
Ethiopia
Sudan
China
Congo
Uingereza
Watajijua wenyewe
 
Watanzania watu wao wanaaminika pamoja na Serikali yake hata linapokuja swala la usalama wowote juzi kati muuaji Thabo kajaribu kuhonga huko kwingine kapita kaja kukamatiwa Tanzania tena walianza kufuatiliwa toka wanatoka Daslm mpaka Arusha ..Watanzania wanafanya biashara kubwa China,SA Brazil yupo mswahili anatuma body za bus kuja Afrika ni vile mmejifungia bandani na mkisafiri mnakutana na wasiokua na mipango mnakuja na hitimisho hapa...pana Mtanzania miaka ya nyuma alikua na share kubwa I&J ya SA kampuni kubwa ya SA hapo mkisha Shiba mnaongea chochote tu..
Hana lolote huyo kama kusafiri kaishia kisiju,
Ameshashiba makande huko anakuja kubeua JF.
 
kuna mtanzania na mbongo, ambao awaaminiki ni wabongo sababu ya kutokuaminika ni maneno mengi vitendo zero
 
Back
Top Bottom