Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Baadhi ya nchi Kama 3 niliwahi kwenda,ukiwauliza wenyeji wa nchi hizo wanakupa majibu fanya research mkuuWewe umefahamuje kama hawaamini kwenye nchi zote hizo ?
🤔🙄 Nimeondoka Ila jf haijaondokaHaujaondoka tu
Wanigeria wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani na pia hawaaminiki kokote kule sasa jamaa anatarajia watuamini sisi😀😀Eti Nigeria hatuaminiki unataka wauza unga, wezi wa mitandao watuamini unaumwa dengue wewe
Watajijua wenyeweMo mp5 once again hope ni wazima Wana Jf.
Sifa ya mtanzania ni ukarimu,ucheshi na upendo lakini imekuwa tofauti pale unapokuwa nchi za watu mtanzania ni mtu ambaye haaminiki kabisa hasa kwenye deals mbalimbali.
Ukiona mtanzania yupo nje ana ishi vizuri ujue ana kipaji mchezaji mpira,muigizaji,msanii au Kama unaenda kwenye project Maalumu.
Nchi ambazo mtanzania haaminiki
Saudi Arabia
Nigeria
South Africa
Korea
Brazil
Dubai
Ethiopia
Sudan
China
Congo
Uingereza
Hana lolote huyo kama kusafiri kaishia kisiju,Watanzania watu wao wanaaminika pamoja na Serikali yake hata linapokuja swala la usalama wowote juzi kati muuaji Thabo kajaribu kuhonga huko kwingine kapita kaja kukamatiwa Tanzania tena walianza kufuatiliwa toka wanatoka Daslm mpaka Arusha ..Watanzania wanafanya biashara kubwa China,SA Brazil yupo mswahili anatuma body za bus kuja Afrika ni vile mmejifungia bandani na mkisafiri mnakutana na wasiokua na mipango mnakuja na hitimisho hapa...pana Mtanzania miaka ya nyuma alikua na share kubwa I&J ya SA kampuni kubwa ya SA hapo mkisha Shiba mnaongea chochote tu..