Ni kipi kipindi bora cha asubuhi kwenye radio?

umemaliza kila kitu mkuu.
 
Yani mtazamo wako Na wangu uko sawa kabisa kwa mm segment ya magazeti ndio huwa naikubali zaidi
Kama ni timu ya mpira basi imepata wachezaji waliozoeana, wenye muunganiko mzuri wenye kuathiriana, wanaoshirikiana na kupendana zaidi wanaojua wajibu wao.
 
Well said
 
licha ya upinzani uliopo katika redio janja za sikuiz mawingu fm bado wapo vzuri sana kwenye vipindi vyao hususani vya asubui kwa hyo pb nawapa kongole.
 
Hizi ni redio za kishenzi
 
Nikimaliza bbc , pb inafata hasa segment ya magazeti akikosekana samm ndo bye bye
 
Hakuna
Hakuna Mtangazaji mkubwa hapo hao wote ni wapiga kelele,mfano Babra,kipanya kwenye hiyo PB ni kelele utafikiri watoto wadogo pia hawana weledi wowote!
 
Niliwahi Kukaa Kwa Muda Mkoa wa Kilimanjaro,Kuna Radio Moshi FM Wapo Jamaa Wawili (Wanafanana Sauti Sana),Ni Wachambuzi Wazuri Sana,Nawaona Mbali Sana Hapo Mbeleni Katika Kada Ya Utangazaji.
 
Hiv wasaf kwenye magazet si ndo wale wanapigaga kelele na sifa za kijinga nyingi zisizo chekesha wala kueleweka?
 
Kabla Zembwela hajatoka East Africa Radio nilipenda sana kipindi chake cha asubuhi, saa saba ikifika nakamata Dw au Planet bongo hadi 10 kamili kama tu Dj Summer atakua mjengoni mana yule jamaa anapiga vitu vinakua kama live show yani unakua high mbaya, saa 10 wazee wa ndinga wako na utulivu sana kuanzia nyimbo na style yao yakuongea kama vile wako kwenye motion ya gari wanapiga stori, kama bado nipo saa mbili nawaacha na mipira yao labda nitatune Mawingu, saa tatu mzee tunakiwasha na Summer tena kwenye The Cruise
 
Radio nyingi zinaigana mfano kuanzia saa 1 na kuendelea utakuta radio kadhaa muda huu ni muda wa vipindi vya michezo
 
Ndaaah hapa umenikuna, nataka kujua kwann east redio , siku hizi wameacha vipindi vyao muhim sana ambavyo vilikuwa vinanifanya kila nikiamka lazima niwashe redio, kama kipind cha afya yako, kisha kipindi cha mind setting? Kwann siku hiz hivyo vipind havipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…