Ni kipi kipindi bora cha asubuhi kwenye radio?

Hu
Tatizo GoodMorning utani mwingi na kuchekacheka sana. Inatakiwa wajipange. Angalau David Rwenyugira anajitahidi
Huyu rwenyagira ni chumvi kwenye mboga sema kuna chemistry inakosekana wanapayuka payuka sana hata orest yuko vizuri sana sema sijui yaani kuna namna tu ukisikiliza hakijakaa vizuri inatakiwa watafutiane chemistry...
 

Hapo mimi naitoa TBC peke yake kwenye list.
RFA, RADIO ONE
 
Power breakfast kwangu ni no1 kwa asubuhi kwakweli Madini yako pale hawaboi hawachoshi watu wana vitu kichwani kina kipanya,siza,Babra,na yule MTU mrefu wa magazeti..Samuely wa Sasali hongereni sana wanaifanya vzr mno wako formal,hapohapo utani kidogo,burudani na elimu viva power breakfast....mpaka matangazo utasikiliza kwa nguvu vile wana ubunifu
 
ila summer mi sijawahi kumuelewa kabisa, namkubali sana Dea akiwa kwenye 1 na 2.
 
Clouds FM ni radio ambayo unaweza sikiliza siku nzima ina vipind bomba.

Kidogo siku hz baada ya kuondoka b12,xxl nakuwa sielew kwasasa,b12 alkuwa anajua kuwaongoza vizur na mahojiano na wasanii yalkuwa poa sana.

Ukisikiliza clouds kuanzia asubuh mpaka jion,hakuna haja ya kununua gazeti,kuangalia taarfa ya habari,hata hakuna haja ya kutembelea mitandao ya kijamii.
 
Elimu bila mipaka
Tunapewa dawah
Tunatolewa kwenye giza na kupelekwa kwenye Nuru….
 
PB n kipindi boraa ,siza, kipanya,Barbra,na kwenye magazeti Sam, wamejipangaa sana,ilaa hawa efm n 0 kwanzaa hawapeani muda wakuongea kila mtu anaropoka kivyakee,good morning wana watu wazuri ila wajipange zaidii
Hawa watangazaji waliopewa ukweli wao kuna chao Cha kujifunza hapaa
 
Yeeeeh ubaoni naipendraaaa
 
Kwa vipindi vya jioni kuanzia saa 10 mie namahamia East Africa Radio kipindi Drive Show ndinga mpya town kuna Ian Dialo, Justin Kessy na DJ Mackey, jamaa wametulia sana na wamejipanga vizuri.
Ndio redio yangu ya muda wote, wako vizuri kila kipindi japokuwa wanachukuliwa watangazaji kila mara

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Ndio redio yangu ya muda wote, wako vizuri kila kipindi japokuwa wanachukuliwa watangazaji kila mara

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Ea Radio to be honest wamepotea sana..Walikuwa poa sana aisee,kipindi hiyo nipo advance nakula msuli wa PCB na Ea radio..Ubora wao wa mwisho mwisho ulikuwa kwenye Power Jams na Sam Misago,Ea drive na Sebastian,The Cruise ya George Bantu na Kenedytheremedy..Weekend walikuwa na show kali pia Saturday breakfast,Planet Bongo,Ugandan Central,Strictly Kenya,The Request Show,Saturday mix..Saivi imepauka,tuna-tunein tu kwa mahaba,atleast Ea drive.
 
Kura yangu kwa power breakfast ndani ya clouds fm[emoji119][emoji1666][emoji3577] viva
 
Umetaja radio za vijana, raja radio one na wenzake ili na sisi tujumuike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…