Hii sidhani Kama itawezekanaKwanini asichukue likizo ya uzazi angalao miezi sita ili amnyonyeshe kwa uzuri kama inavyoshauriwa kitaalam?
Likizo amepewa miezi mitatu na sasa anatakiwa arudi kazini ila atakuwa anatoka saa sita hadi mtoto atakapo fikisha miezi sitaKwanini asichukue likizo ya uzazi angalao miezi sita ili amnyonyeshe kwa uzuri kama inavyoshauriwa kitaalam?
Ni option nzuri, nitaangalia uwezekanoTafuteni utalatibu wa kupata tripu moja hapo katikati, mtoto akapige nyonyo alafu anarudi home.
Hela si ipo tu, mshahara aliopewa kipindi cha likizo bila kazi, ndio wakati wakutumika.
Asante kwa ushauri mzuri. Hivi maziwa ya mama yanaweza kukamuliwa kwa mikono au kuna vifaa maalum?Mama kabla ya kwenda kazini ahakikishe amemkamulia maziwa yatakayomtosha mtoto kwa huo muda ambao atakuwa kazini..ayaandae ktk mazingira ya usafi
Mtoto hawezi shinda njaa tangu asbh Hadi saa6
Maziwa ya ng'ombe hayawezi fanana na maziwa ya mama
Maziwa ya kopo sidhani km Ni mazuri Sana Tena kwa mtoto wa miezi 3
Yanakamuliwa kwa mikono tuu au kuna vifaa maalum?Mama yake akamue maziwa yakae kwenye fridge
Nikweli kabisaHii sidhani Kama itawezekana
Likizo nyingi hasa watumishi wa umma hufikia ukomo Mara baada ya mtoto kufikisha miezi 3
Anakamua tu mwenyewe kwa mkonoAsante kwa ushauri mzuri. Hivi maziwa ya mama yanaweza kukamuliwa kwa mikono au kuna vifaa maalum?
Kwa wakati huu kuna njia nyingi sana tena nzuri za kuhifadhi maziwa ya mama kwa kuhakikisha mama anakamua maziwa yake kwa kifaa maalumu(maana kwa mkono anaweza kuchoka) na kisha kuyahifadhi katika chupa maalumu za maziwa ya mtoto na kuyaweka kwenye fridge hasa freezer ili mtoto apewe mama anapokua hayupo, mimi nilitumia bidhaa za AVENT ila kuna bidhaa nyingi tu inategemea na mfuko wako. Mtoto wangu hajawai kutumia maziwa yoyote zaidi ya kwangu na nilimnyonyesha kwa miaka 2 na nusu ni kuhakikisha mama unakula vyakula vitakavyokusaidia kupata maziwa mengi na kukamua mara kwa mara ili uweze kuhifadhi kwa wingi ila uwe na uhakika na dada wa kazi/ndugu kwa kumpa maelekezo ya kutosha jinsi ya kuyapasha maziwa.Usafi wa mashine na vyupa bora ufanye mwenyewe Mama kwa usalama wa mwanao.Nashindwa kuamua kati ya
1. Anyonye asubui saa moja na asubiri muda tena mpaka saa sita atakapo rudi mama yake.
2. Nimpe maziwa ya ng'ombe kwa muda huo ambao mama yake atakuwa hayupo au
3. Nimpe maziwa ya kopo.
Tangu amezaliwa hadi sasa ameishi kwa kunyonya maziwa ya mama tuu ila kwa sasa mama yake anatakiwa arudi kazini likizo yauzazi imeisha. Msaada wenu tafadhali
Yanakamuliwa kwa mikono tuu au kuna vifaa maalum?
Kuna vifaa maalum lakini mikono inafaa, ikiwa ni ngumu sana mpe MSA au ABC gold,Yanakamuliwa kwa mikono tuu au kuna vifaa maalum?
OK, ngoja niandae option mbili. Nitajaribu ya kukamua maziwa ya mama ikishindikana nitanunua moja kati ya aina hizo mbili iwepo standbyKuna vidaka maalum lakini mikono inafaa, Juma ni ngumu sana mpe MSA au ABC gold,
Link haifungukiKwa wakati huu kuna njia nyingi sana tena nzuri za kuhifadhi maziwa ya mama kwa kuhakikisha mama anakamua maziwa yake kwa kifaa maalumu(maana kwa mkono anaweza kuchoka) na kisha kuyahifadhi katika chupa maalumu za maziwa ya mtoto na kuyaweka kwenye fridge hasa freezer ili mtoto apewe mama anapokua hayupo, mimi nilitumia bidhaa za AVENT ila kuna bidhaa nyingi tu inategemea na mfuko wako. Mtoto wangu hajawai kutumia maziwa yoyote zaidi ya kwangu na nilimnyonyesha kwa miaka 2 na nusu ni kuhakikisha mama unakula vyakula vitakavyokusaidia kupata maziwa mengi na kukamua mara kwa mara ili uweze kuhifadhi kwa wingi ila uwe na uhakika na dada wa kazi/ndugu kwa kumpa maelekezo ya kutosha jinsi ya kuyapasha maziwa.Usafi wa mashine na vyupa bora ufanye mwenyewe Mama kwa usalama wa mwanao.
Amazon product ASIN B00PF83R6G angalia hiyo link for more info.
Yaa akifikisha miezi sita ataanza kula ugali uliowekwa mchuzi na mboga za kusaga, uji wa maziwa asubuhi na maziwa yanakuwa kama drink in between meals.OK, ngoja niandae option mbili. Nitajaribu ya kukamua maziwa ya mama ikishindikana nitatumia moja kati ya aina hizo mbili iwepo standby
Jaribu kugoogle Avent breastfeeding products!Link haifunguki
Kuna mtu ameniambia maziwa ya ng'ombe hayafai kwa watoto chini ya mwaka mmojaYaa akifikisha miezi sita ataanza kula ugali uliowekwa mchuzi na mboga za kusaga, uji wa maziwa asubuhi na maziwa yanakuwa kama drink in between meals.