Nashindwa kuamua kati ya
1. Anyonye asubui saa moja na asubiri muda tena mpaka saa sita atakapo rudi mama yake.
2. Nimpe maziwa ya ng'ombe kwa muda huo ambao mama yake atakuwa hayupo au
3. Nimpe maziwa ya kopo.
Tangu amezaliwa hadi sasa ameishi kwa kunyonya maziwa ya mama tuu ila kwa sasa mama yake anatakiwa arudi kazini likizo yauzazi imeisha. Msaada wenu tafadhali