Ni kipi ulitami ungekijua kabla ya kufika miaka 23?

Daktari wa Manchester

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2020
Posts
350
Reaction score
403
Habari za saa hizi.

Je, ni mambo gani unatamani ungeyajua kabla hujafikisha miaka 23,

Share hapa na wengine wajifunze.
 
Ningejua kuwa elimu ya form 5 na 6 kwa tanzania haina umuhimu kwa kuwa nchi zilizoendelea wanatambua form 4 ndio mwisho wa high school except (england) Ningeenda zangu diploma tuu
 
Kufunga ndoa mapema na kuzaa mapema kuna faida nyingi kuliko hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…