Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chaiiii 😳Alikua ananijali sana kuanzia sex, muda wa kula, mawasiliano mazuri mda wote, hajawahi kunijibu vibaya
Shida alikuja kwangu na mimba ya ex wake😭😭
DuuhMtoto wa kike anajua kupika, anajiweza ndani ya nyumba, msafi wa hali ya juu na alikua ana upendo sana. Ila suala la kutaka nimpe ujauzito kwa haraka haraka na bado nilikua naona incompatibilities nyingi ambazo kwake ni natural behaviours ilikua ngumu na ningekua Baba mwenye kujuta sana.
We are now good friends ila kuna muda huwa anajisahau anafikiri bado tupo kwenye relationship, tunasaidiana sana na hua na mpigia mapande Job kwa temporary works. By the way ameshapata mtoto sasa aliyekua ana mlilia still anajuta kwanini alizaa na huyo mtu. So all in all nashukuru siku zina kwenda
Ndiyo, tulikuwa tunawasha AC au feni🥲Hata msimu wa joto kama huu mkuu??