Mtoto wa kike anajua kupika, anajiweza ndani ya nyumba, msafi wa hali ya juu na alikua ana upendo sana. Ila suala la kutaka nimpe ujauzito kwa haraka haraka na bado nilikua naona incompatibilities nyingi ambazo kwake ni natural behaviours ilikua ngumu na ningekua Baba mwenye kujuta sana.
We are now good friends ila kuna muda huwa anajisahau anafikiri bado tupo kwenye relationship, tunasaidiana sana na hua na mpigia mapande Job kwa temporary works. By the way ameshapata mtoto sasa aliyekua ana mlilia still anajuta kwanini alizaa na huyo mtu. So all in all nashukuru siku zina kwenda