Naelewa kiongozi ila nataka niombe kwa Anastasia21 tulee watoto tu sasaUsiwaamini wanawake buana, hizo ni mitego yao Tu ili wakupate......
Kama house girl nielekeze kiongozi😹Naelewa kiongozi ila nataka niombe kwa Anastasia21 tulee watoto tu sasa
Khaaa wewe huwezi kuwa house girl bwana wewe ni mama la mama full stop.Kama house girl nielekeze kiongozi😹
She was 20Umenikumbusha demu wangu flani hivi,alikua na utoto mwingi sana.
Tukiwa wote popote Kila ikisimama naweka tu,Kazi yangu nikutafta Tu chumba, tukiwa gheto ndo usiseme
we mwanang kiboko🙄Yule binti alijua kulia yaani kila siku nashindwa kumsahau yaaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ex yupi kwanza jamani,em tuanzie hapo...maana nikichungulia ",the list daah!!!
Mbona wewooooo [emoji30][emoji30][emoji56]
Asante napambanaPole sana Kadogo, nakuelewa, huo uoga huwa unachukua muda sana kuisha 🫂