Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Unamaanisha kipindi cha redio au tangazo la biashara redioni....au mi ndio sijaelewa ...maana kichwa cha habari yako kinasema kipindi cha redio nilitegemea kuona vipindi kama je wajua, na je huu ni ungwana lakini cha ajabu naishia kuona matangazo ...Habari wanajf Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, binafsi nilikuwa napenda kipindi Asubuhi na Vodacom Cha legend Freddy Fidelis RIP kukiwa na tangazo la HEBU NIAMBI VODACOM NI NINI...................NIPE ZAWADI YANGU,NANI KAKUAHID ZAWADI. pia kulikuwa na tangazo la bia SAFARI NI SAFARI IWE USIKU AU MCHANA, Aiseee yaani enzi hizo pia kulikuwa tangazo la FOMA utaskia NI NYEKUNDU RANGI YA UPENDO wanaitikia FOMA GOLD!!!!! Kweli siku hazigandi.
Wee jamaaa vifooo Teena!!!!!!Taarifa za kifo RTD baada ya taarifa ya habari
bado kipo kila jumapili,saa tatu asubuhiJe wajua?? RFA kipindi hicho sijui kama bado kipo
Asante chiefbado kipo kila jumapili,saa tatu asubuhi