Ni kisema kuwa raisi ni kilaza mtasema sisi ni magaidi.

Ni kisema kuwa raisi ni kilaza mtasema sisi ni magaidi.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
kuna mada hapa naona JF wana kwepa history ya huyu mama mpaka history yake.

JF upenda kulifanya jambo kuwa kama chapati na supu maana mengi tumeona na mlipata matatizo na wengine walipata pesa wafanyakazi wenu.

kitakacho endelea hapa tanganyika msifute ili kesho muonekane ndio mlikuwa vyanzo wajuzi maana kufuta habari tunawa wajua.

Kilichomo nchi imeingia choo cha watawala wajomba omani na wanacho taka nchi kufa kabisa ili wafanye kwa huyu mwanamke ambaye hata ajielewi.
 
Upendo halisi ni kuchukuliana na udhaifu ambao ngumu kuubeba

Kutoka moyoni sipendi mtu ka SAMIA kuwa kiongozi wangu

Lakini kwanini ajali inalazimisha utii.!

Itoshe kusema aliye juu hayupo kwa kwa bahati mbaya

Hata kama SAMIA simpendi she still my forgeten Lotus in pain
 
Wengi tumejipata hapo tuendelee kutafuta upenyo.
 
Gubu halitamuacha mlengwa salama.😀😀😀
 
Tunaweza pishana mawazo, na hisia. Lakini kuvunjiana heshima sio jambo jema
 
But mama aache kujithibitsha sana

Sijawatukana waislamu kwa bahati mbaya

Wao ni Mazoba kweli.!

Lakini uhalisia Unaharibu mpangilio

Leo ni mehisi mazishi Ya Abubakar kipitu masjid Al haaQ

But flaulwes of gang means a lot

Let just this guy to be

Elimination to that kind ni kupikwa ukaiiva
 
Back
Top Bottom