Ni kitabu gani huwa unakisoma mara kwa mara ?

Usinilazimishe nikujibu tena
Huna uwezo wa kujibu nilichokuuliza,umebaki kurukaruka hovyo tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,bora upige kimya tu ili usiendelee kujiaibisha na hoja zako za darasa la pili unusu.
 
Biblia nikisoma Zaburi ya 23 na 90 nahisi niko peponi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barack Obama (yes we can)
Mwandishi: Lila Luce

Julius kambarage nyerere, falsafa zake na dhana ya utakatifu.
Mwandishi E. Katare.

Navingine kama pembetatu ya ndoa nk nk
 

ntumie soft copy zake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…