Mtoa mada inaonekana, unataarifa nyingi za mitandaoni tofauti na uhalisia halisi.
Ingekuwa umepita na kujua ABC za majeshi na vikundi maalumu ungeweza kunadika kitu tofauti na hicho kidogo
Lengo si kubishana ila nikujuze kitu kidogo
Nchi nyingi sana zina special forces zao, hata kwetu hapa zipo, na zipo makini sana, tena, na kwa walio wahi kuona mafunzo yao, hayo ha NAVY AU SAS yanasoma kidgo,
Kinachotofautisha ni ishu ya hao ndio watawala, huwezi kuta kuna takwimu, zitazo waonyesha wao wamepitwa , hii ni mbinu ya kijesh na kivita na ni wanavyofanya kuonyesha silaha zao nzito na huwezo wa kijeshi
(kuna sababu nyingi tu hapa ila tusiende huko) .
Data nyingi kuhusu vikundi vya waasi, maharamia n. K zipo cooked nyingi hao majamaaa wameingiza mkono wao.
Yaani weka tatizo, indirectly kisha njoo directly na solution kwa lengo la kupenya sehemu husika. (ukiingia utaona mambo mengi fikirishi humo)
Kuna guys hapa bongo, ambao tukio kama hili wangesolve kwa muda mfupi sana, tu.
Note
Special force wanakazi maalum. Katika vikundi na mafunzo ya kijeshi, yanalevo zake. Kila tukio kuwapeleka special force ni matumizi mabay ya nguvu
( sawa na canter utumie kubebea kerti moja la soda, ingawa maisha ya Raia ni muhimu, ila ni mahesabu madogo tu)
Kuna matukio, ambayo polis wa kawaida anaweza solve, hadi kufikia special force ni hatua kubwa, ila hao jamaa wapo, tena makini sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app