Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
walikua wanatoa mafunzo?mwanza mwaka jana walikuwepo SPETSNAZ sijui kama bado wapo mpaka sasa
na nadhani spersnaz ndio special force bora zaidi ulimwenguni kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanza mwaka jana walikuwepo SPETSNAZ sijui kama bado wapo mpaka sasa
na nadhani spersnaz ndio special force bora zaidi ulimwenguni kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa waasisi wa special force zingine hakuwafanyi SAS kuwa juu ya spertnaz maana ata spertnaz ndio wanaotoa mafunzo kwa special force ya bulgaria,cuba na nyinginezoMwanza hapana?
Niko karib sana na majeshi. Habar hiz zingezunguka jeshini sana.
Anyway kusema spetsnaz ndio specal force bora.. unakosea sana.
SAS wana ndio wana kuwa considered the best on the field.
Wao ndio waasis wa special forces za america.. canada, new zealand, south africa, astralia.. na baadhi ya nchi za asia. Moja ya mambo yanayowabeba ni experience on the battle field.
Basicaly wakianza mwaka 1940, while spetznas 1950.
Selection course ya SAS ni ngumu kiasi kwamba 92% hufeli training.
Almost rate ya watu kufa kwenye mafunzo watatu na kuendelea, na hawa ni askari kutoka kwen ye vikosi vingine.
SAS tier 1 group.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi mna bahati sana maana mnao uwezo wa kujadiliana na ng'ombe kwenye jukwaa moja la jamii forum.
sina uhakika saana maana nilikutana nao hospital ya jeshi pande hizo kilichofanya nijue ni spertnaz ni tisheti zao tu
oksina uhakika saana maana nilikutana nao hospital ya jeshi pande hizo kilichofanya nijue ni spertnaz ni tisheti zao tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanakufa wachache sana kuanzia watatu mi nikajua kuanzia 30 na kuendelea.Mwanza hapana?
Niko karib sana na majeshi. Habar hiz zingezunguka jeshini sana.
Anyway kusema spetsnaz ndio specal force bora.. unakosea sana.
SAS wana ndio wana kuwa considered the best on the field.
Wao ndio waasis wa special forces za america.. canada, new zealand, south africa, astralia.. na baadhi ya nchi za asia. Moja ya mambo yanayowabeba ni experience on the battle field.
Basicaly wakianza mwaka 1940, while spetznas 1950.
Selection course ya SAS ni ngumu kiasi kwamba 92% hufeli training.
Almost rate ya watu kufa kwenye mafunzo watatu na kuendelea, na hawa ni askari kutoka kwen ye vikosi vingine.
SAS tier 1 group.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanakufa wachache sana kuanzia watatu mi nikajua kuanzia 30 na kuendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa waasisi wa special force zingine hakuwafanyi SAS kuwa juu ya spertnaz maana ata spertnaz ndio wanaotoa mafunzo kwa special force ya bulgaria,cuba na nyinginezo
wap SAS wameonesha kuwa wao ni bora kuliko wengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.
SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.
Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi mna bahati sana maana mnao uwezo wa kujadiliana na ng'ombe kwenye jukwaa moja la jamii forum.
Yale yale ya Mama kumuita mtoto wake nguruwe, wakati amekaa tumboni mwake miezi tisa na amenyonya mpaka kapata nguvu ya kutembea!.
Rudi kwenye mada achana na huu upuuzi wa kumalizia hasira zako hapa jukwaani.
Pole sana mkuu lusungo, povu kwa kwenda mbele, mpaka unafikia hatua ya kuongea na ng'ombe na kubakia na ubinadamu wako!.Hujaona watu wakiwasemesha Ng’ombe? Hivi kwa hizo thinking zenu mnatofautiana nini na ng’ombe?
Sent using Jamii Forums mobile app
If the mission is to kill.... bisu lote la nini Mkuu. Huyu akikulabua kofi itakuchukua wiki nzima kuzinduka if not for good!
Mkuu siraha na mavazi alipata wapi?Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..