Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

hahaha kenya nao wana special force wao wanaitwa sijui RECC hawa ndio wale walipewa jukumu la kukomboa watu pale westgate lkn ikasemekana wali fail vibaya sanaaa hawa RECC walikuwa trained na US NAVY walipewa mafunzo ya kupambana na ugaidi na hata ktk shambulio la westgate Israel na Marekani walitaka wapeleke special forces pale west gate lkn sijui jirani walikataa nazani safari hii kufanikiwa kwao ni sababu ya uwepo wa hao special forces wa mataifa makubwaa binafsi nawaelewa sana NAVY SEAL
 
Alikua navyo kwenye gari

Sent using Jamii Forums mobile app
Kk special forces wa mataifa makubwa huwezi fananisha na special forces wa mataifa ya chini HATA SIKU MOJA USITHUBUTU KK wenzetu vita sio man power tu ongezea na TEKNOLOJIA bro !!
 
We master !! yaani mgeni uingie ktk nchi ya watu na madhana ya kivita yote hayo ? acha izo huyo jamaa alikuwa ametumwa na ubalozi maana baadhi ya special elites force wanakuwepo ktk balozi za nchi za wenzetu zenye maendeleo
 
mh hao RECC hamna kitu
 
Hivi hakuna Mtanzania ambaye hajawai ishi Nairobi?
Acha ujinga kwani narobi (nairobi) si mji kama miji mingine? Kabla hujazaliwa narobi ilijulikana kama half London. Wakati huo heroin court ikiwa ndilo chimbo. Biwott akiwa na maestates ya kuua mtu. Unamjua Githunguli wewe na story ya lilian tower? Acha ujinga
 
This attitude is too infantile for a Nairobian.
 
sawa lkn bila urusi vita ya pili ya dunia hao SAS walikuwa wapoteze

kesho nitakutajia battle ten za spertsnaz now tecno inanisumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAS si jeshi. Bali ni unit ndani ya jeshi.
Kulikuwa na jeshi la uingereza la kawaida. navy na airforce walipambana vikali sana vita ya pili ( sir winston churchill ali play part kubwa )
By then russia walikusa na jeshi la kawaida tu.. walikuwa hawana vikos vya makomando. Miaka kumi mbelen ndipo russia waliunda vikosi vya makomando.
sawa lkn bila urusi vita ya pili ya dunia hao SAS walikuwa wapoteze

kesho nitakutajia battle ten za spertsnaz now tecno inanisumbua

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes inawezekana lakini kwa kibali maalumu.
Na pia kuna comment niliandika kuwa ubalozin wanakuw wapo pia.
Ila kama mkufunzi hizi tactical gear maranyingi wanakuwa nazo ..na nchi husika huwa wanafaham .
We master !! yaani mgeni uingie ktk nchi ya watu na madhana ya kivita yote hayo ? acha izo huyo jamaa alikuwa ametumwa na ubalozi maana baadhi ya special elites force wanakuwepo ktk balozi za nchi za wenzetu zenye maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama walipigana vita ya pili bila special force na wakawa wa kwanza kuikamata ujerumani basi hawa wajeda wao sio wa kitoto

hao SAS ni watu wa show of japo wapo vzr lkn angakia hapo syria tu kazi wanayofanya spertnaz bila fujo zozote



Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAS sio watu wa show offs. Ndio maana matukio mengi waliyofanya hujulikana baadae sana.
Navy seals ndio wa kideo sana, hawa mpaka wamekosolewa na wananch kwa kuonyesha mpaka mafunzo yao online..
Anyway ni hiv russia advantage waliyokuwa wanatumia ni kwamba walikuwa ni wengi.. askari wengi kuliko uingereza.. na walipoteza askari 8,904,467.kwenye vita..
British walikuwa na askari si wengi sana lakin were very effective.
Kuacha askari wa kawaida
SAS walitumika kupiga miundombinu muhimu ya adui.. kuuua kupoteza kuarib mawasiliano ya adui.
Waliwapa wa germany wkt mgum sabab walikuwa wakiingia german bila ujeruman kujua.. wanashtukiza tu mambo yameharibika huku jamaa wakiwa wameshasepa.
Wao walipoteza karibia askar miliion moja na kitu.

Kumbuka ujerumani pia ilikamatwa na joint forces si urusi pekee. Ilikuwa ni muungano wa majeshi ktk kumuondoa hitler na jeshi lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
fact bt kinyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna habari nilikuwa naisoma ktk gazeti la dairy mirror la Uk limethibitisha ya kuwa huyo msela ni SAS na alikuwa kenya kw ajili ya kuwafunza jeshi la kenya na imeripotiwa ya kuwa huyo SAS amerejeshwa UK kwa sababu za kiusalama wake kufuatia picha zake kuonekana sana mtandaoni na inahabarishwa pia huyo SAS alishashiriki operation nyingi za kuwashambulia magaidi wa Islamic State pasipo shaka jamaa ana profile kubwaaa mnoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…