Kikwete alikuwa mwizi tu, Richmond,Kagoda,Meremeta,na upuuzi mwingi kauanzisha Yeye,aliigeuza Nchi kuwa shamba la bibi wakati wa utawala wakeMalaika wa Chato hakufaa kuwa Rais wa nchi yenye upendo kama Tanzania. Amezalisha sumu ambayo kama juhudi kubwa isipofanyika, Tanzania itaingia kwenye rekodi sawa na Burundi na Rwanda. Ndio maana Mungu akaona amalizane naye mapema. Yaani mtu anauwezo wa kuandika yote haya lakini hajui kama ni huyo Kikwete ndiye bomba alilojenga la Gesi kutoka Mtwara ndilo linaloleta ahueni ya umeme kwa sasa. Mtu hajui kwamba kama si usambazaji wa mkongo uliofanywa na Kikwete, asingejidai na internet hii aliyonayo sasa. Na huenda mtoa mada alisoma shule ya kata au alisoma UDOM au anaandika utumbo wake akiwa ndani ya mwendokasi au mjombaake yuko Mloganzila au yuko Moi aionayo sasa, yet hajui kama yote hayo ni matunda ya Kikwete.
Kuna watu mlihadithiwa historia ya nchi hii ila rudini kwa waliowahadithia wawamalizie stori. Kwa mnaotoka mikoa ya pembezoni, Kikwete ndiye aliyejenga hizo barabara zote kuanzia kuanzia Masasi hadi Sumbawanga hadi huko Chato kwa Malaika wenu.
Mpeni heshima yake Kikwete, wengine kwa akili zenu msingeweza kupata alama za kuendelea na masomo kama si shule za Kata za Kikwete.
Mi nammezea Sana mate .nikipata upenyo nandaa mashtaka ya kujitegemea. Mshtaki huruTungekuwa na katiba kama ya South Africa JK ilibidi muda huu awe Jela..
Ndio maana tunawaambia mmehadithiwa na Malaika wa Chato. Hamna mlijualo. Kikwete amehusikaje na Meremeta au Kagoda au EPA?Kikwete alikuwa mwizi tu, Richmond,Kagoda,Meremeta,na upuuzi mwingi kauanzisha Yeye,aliigeuza Nchi kuwa shamba la bibi wakati wa utawala wake
Hivi tofauti na Wizara alizohudumu JPM wakati wa Kikwete, ni wizara gani nyingine imefanya vitu tangible?
Haujajibu swali.Sukuma Gang hamjui kama nchi ilikuwaje na ilikuwa na shida gani kubwa. Isingetolewa fedha ya kutosha Dar mngeisikia tu. Malaika ashakufa hakuna tena viroba ufukweni, muacheni ale kuni zake za kutosha muda huu.
Nimekujibu kuwa Malaika wa Chato anachomwa moto na mtoto wa mjini JK anapeta tu, la kumfanya hamna.Haujajibu swali.
Unaweza kunisaidia faida ya huo mkongo gharama za data zinapanda kila uchwaoMkongo wa Taifa, serikali ilicheza kama Pele.
UDOM ni ya CWR2016Solution ni kumalizana na ccm, ccm ni ukoo wa panya. Fullstop.
Kwa kuongezea tu jk alisem atakuwa riais wa mwisho kuongoza nchi maskini kwa kuwa tutakuwa kwenye uchumi wa gesHabari Wana JF,
Kuna hoja nyingi sana zinasukuma kujengwa bandari kubwa ya Bagamoyo.
Mradi huu ukipata nguvu sana wkt wa JK. Haukukamilika wkt wake.
Sasa umerejea kwa kasi kiasi cha kudhorotesha hata miradi mingine.
Binafsi ukiniuliza, nitakwambia JK ndio kila kitu kwenye huu Mradi. Hadi muda huu.
SWALI: JK alishafanya mradi gani mkubwa, ukabaki kuwa ni Mali ya Watanzania.?
Hivi Wana JF wote mlikuwa "watoto wachanga" wkt anasema gesi mtwara lazima itoke. Na hadi watu wakachapwa, huko Mtwara kwamba itatoka tu kwa manufaa ya nchi yote!
Hamkumbuki hotuba ya JK akijenga hoja hilo jambo la gesi.?!
Au wote humu mlikuwa watoto?!
SASA UKWELI: Je, leo ile gesi ni kwetu Watanzania?!.
(Nyerere hakuwa mjinga kuepuka dhambi ya kuuza migodi yetu)
Je, leo JK ndio aaminike kwenye ishu ya bandari ya Bagamoyo?!
JK huyu huyu ambae wkt wa Mwinyi aliwahi kuwa Waziri wa Nishati, Madini na Maji.....hadi Leo maji ni mgao Dsm.
Ni kheri nimsikilize Mzee Mangula kuliko JK mara mia.
JK & Co tuachie Bagamoyo yetu.
Mama Samia, watch out! Hii ndio hesabu ya mwisho ya Wachina.
(Tz ndio yenye ARDHI zaidi kusini mwa jangwa la Sahara).
TUMEKWISHA...!!
Mradi wa BRT, Flyover ya Tazara na Ubungo, barabara ya kilwa, Kawawa no, Chuo Kikuu Cha Dodoma, Chuo Kikuu Cha sayansi - Mbeya, barabara alizoacha Mkapa , daraja la kigamboni, daraja la malagalasi, mabadiliko ya polisi kuondolewa power ya kuprosecute kesi, ujenzi wa shule za kata, Ujenzi wa stendi za mikoa kama Morogoro, ubungo, Tanga - Kange nk, ununuzi wa vivuko Mtwara (msangamkuu) , kivuko Kyela , demokrasia ya bunge, upinzani kupewa nafasi mbalimbali serikalini, 46/54% ya usawa kwenye serikali nk.Habari Wana JF,
Kuna hoja nyingi sana zinasukuma kujengwa bandari kubwa ya Bagamoyo.
Mradi huu ukipata nguvu sana wkt wa JK. Haukukamilika wkt wake.
Sasa umerejea kwa kasi kiasi cha kudhorotesha hata miradi mingine.
Binafsi ukiniuliza, nitakwambia JK ndio kila kitu kwenye huu Mradi. Hadi muda huu.
SWALI: JK alishafanya mradi gani mkubwa, ukabaki kuwa ni Mali ya Watanzania.?
Hivi Wana JF wote mlikuwa "watoto wachanga" wkt anasema gesi mtwara lazima itoke. Na hadi watu wakachapwa, huko Mtwara kwamba itatoka tu kwa manufaa ya nchi yote!
Hamkumbuki hotuba ya JK akijenga hoja hilo jambo la gesi.?!
Au wote humu mlikuwa watoto?!
SASA UKWELI: Je, leo ile gesi ni kwetu Watanzania?!.
(Nyerere hakuwa mjinga kuepuka dhambi ya kuuza migodi yetu)
Je, leo JK ndio aaminike kwenye ishu ya bandari ya Bagamoyo?!
JK huyu huyu ambae wkt wa Mwinyi aliwahi kuwa Waziri wa Nishati, Madini na Maji.....hadi Leo maji ni mgao Dsm.
Ni kheri nimsikilize Mzee Mangula kuliko JK mara mia.
JK & Co tuachie Bagamoyo yetu.
Mama Samia, watch out! Hii ndio hesabu ya mwisho ya Wachina.
(Tz ndio yenye ARDHI zaidi kusini mwa jangwa la Sahara).
TUMEKWISHA...!!
Lakini cha ajabu maisha yalikuwa baridiii, poaaa na watu walikuwa na mkwanja na fwedhaa ilikuwepo kitaaa [emoji12][emoji12]Kikwete ndie raisi alituingiza ktk mikataba ya hovyo kuliko raisi mwingine yoyote
- Gas ya mtwara kwa hati ya dharura bungeni chini ya 'kiongozi' dhaifu na 'bunge dhaifu'
- Upigaji wa fedha za escraw
- ect
Aliidhinisha mapendekezo mengi ya fikra za Magufuri kwenye sekta ya ujenzi, kipindi kile tulikuwa hatusemi Rais kafanya abc, yeye alikuwa anasema tumefanya, serikali tumefanya etc..... He had inclussive political statements, japo alisifiwa utopolo mwingi na alipenda kusifiwa na ndio muasisi wa kusifiwa sana kwa magumashi kukidhi haja zake, sifa za uongo alipewa nyingi sana.Habari Wana JF,
Kuna hoja nyingi sana zinasukuma kujengwa bandari kubwa ya Bagamoyo.
Mradi huu ukipata nguvu sana wkt wa JK. Haukukamilika wkt wake.
Sasa umerejea kwa kasi kiasi cha kudhorotesha hata miradi mingine.
Binafsi ukiniuliza, nitakwambia JK ndio kila kitu kwenye huu Mradi. Hadi muda huu.
SWALI: JK alishafanya mradi gani mkubwa, ukabaki kuwa ni Mali ya Watanzania.?
Hivi Wana JF wote mlikuwa "watoto wachanga" wkt anasema gesi mtwara lazima itoke. Na hadi watu wakachapwa, huko Mtwara kwamba itatoka tu kwa manufaa ya nchi yote!
Hamkumbuki hotuba ya JK akijenga hoja hilo jambo la gesi.?!
Au wote humu mlikuwa watoto?!
SASA UKWELI: Je, leo ile gesi ni kwetu Watanzania?!.
(Nyerere hakuwa mjinga kuepuka dhambi ya kuuza migodi yetu)
Je, leo JK ndio aaminike kwenye ishu ya bandari ya Bagamoyo?!
JK huyu huyu ambae wkt wa Mwinyi aliwahi kuwa Waziri wa Nishati, Madini na Maji.....hadi Leo maji ni mgao Dsm.
Ni kheri nimsikilize Mzee Mangula kuliko JK mara mia.
JK & Co tuachie Bagamoyo yetu.
Mama Samia, watch out! Hii ndio hesabu ya mwisho ya Wachina.
(Tz ndio yenye ARDHI zaidi kusini mwa jangwa la Sahara).
TUMEKWISHA...!!
Unaweza kunisaidia faida ya huo mkongo gharama za data zinapanda kila uchwao
Kama ulianza kutumia intaneti kabla ya mwaka 2009 utagundua kuwa gharama za intaneti sio Sawa na za sasa hasa kuanzia mwaka 2013 mpaka 2017.Unaweza kunisaidia faida ya huo mkongo gharama za data zinapanda kila uchwao