Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?

Niko smart, natarajia kuoa na Nina hela kumbe hela ya Kula yenyewe naipata kwa mbinde Sana mpaka jasho la ugoko linitoke,,sina mpango wa kuoa (KATAA NDOA PRO MAX) na sina usmart wowote basi tu hawajanijua vizuri
 
Jamii inayo nizunguka huwa wanahisi au kudhan mm ni askali(shushushu) inapeleke kukosa baadhi ya huduma ninazo ziitaji kwa haraka.
 
Bado ni msamiati kwangu, kifupi ni kuwa nikiwa peke yangu huwa nafanya mambo ya kitoto, naweza shinda home nacheza pc game na junior wangu ama ukanikuta naongelesha mifugo yangu as if wananielewa. Sasa kwa mtu mwingine huu ni utahira.
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…