Damn[emoji39]hyo naanzaje kusahau...hapo hata km ulikuwa lonely unajikuta umefarijika.Usisahau awe mrefu na mwenye kunukia ohooooo.....Hallelujah [emoji3344][emoji3344][emoji3344]
[emoji134][emoji134]Hiyo hatari sana.
Ngoja niirudishe app yangu.Kuna vitu ndani yetu inabidi tupambane navyo ili tujitendee haki mpenz hata km ni kero kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo radhi nisubiri daladala hata nusu saa ila si kupanda daladala iloyojaaUwe unaomba Mkaka aliyekaa pembeni akupakate
Utaharibu kibofu na unajitengenezea hatari ya magonjwa ya figo.Mitu kinachonikera zaidi pia aisee hakuna kitu nachukia kama nimeshalala then natakiwa kwenda kukojoa yaani huwa sipendi.
Kitu ambacho huwa naweza sikia kibanwa mkojo kabisa nikiwa usingizini usiku ila nikakausha hadi kukuche. Nikaja shauliwa kuwa sio vizuri.
Unaishi Dar ndo kuna foleni Ila huku kwetu daladala hazijazi[emoji4]Nipo radhi nisubiri daladala hata nusu saa ila si kupanda daladala iloyojaa
Hata kama ninapoenda Ni karibu.
Aisee mkuu hilo ni pigo moja kubwa sana kwenye usingizi,huwa natamani kulia kwa hasiraMitu kinachonikera zaidi pia aisee hakuna kitu nachukia kama nimeshalala then natakiwa kwenda kukojoa yaani huwa sipendi.
Kitu ambacho huwa naweza sikia kibanwa mkojo kabisa nikiwa usingizini usiku ila nikakausha hadi kukuche. Nikaja shauliwa kuwa sio vizuri.
Kweli km toilet mbali weka hata kopo room....unashuka tu na kulenga [emoji28]Utaharibu kibofu na unajitengenezea hatari ya magonjwa ya figo.
Nipo mkoaniUnaishi Dar ndo kuna foleni Ila huku kwetu daladala hazijazi[emoji4]
Mkoa gani labda ni A town siyoNipo mkoani
😀unainuka huku unasonya.Aisee mkuu hilo ni pigo moja kubwa sana kwenye usingizi,huwa natamani kulia kwa hasira
Sent using Jamii Forums mobile app
Hupendi[emoji4]Kuvaa sidiria dah!
Mimi huwa sina utani kabisa na mkojo.Kweli km toilet mbali weka hata kopo room....unashuka tu na kulenga [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kukuona mkuu zaidi ya kujihisi wewe Mwenyewe nafsini mwako...
Una upendo,moyo wa kutoa,na mengineyo..Mungu azidi kukubariki.
Amen
Sipend kabisa yaan! Navaaga kwa lazima nikiwa natoka tu lakin nyumban sivai hataHupendi[emoji4]
Yan kama ulikuwepo hapo sura nimeikunja...natembea huku nimefumba macho na nikifika kupee nasinzia huku nimechuchumaa[emoji85][emoji3]unainuka huku unasonya.