Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Me kinachonikera zaidi pia aisee hakuna kitu nachukia kama nimeshalala then natakiwa kwenda kukojoa yaani huwa sipendi.
Kitu ambacho huwa naweza sikia kubanwa mkojo kabisa nikiwa usingizini usiku, ila nikakausha hadi kukuche. Nikaja shauliwa kuwa sio vizuri.
 
Mitu kinachonikera zaidi pia aisee hakuna kitu nachukia kama nimeshalala then natakiwa kwenda kukojoa yaani huwa sipendi.
Kitu ambacho huwa naweza sikia kibanwa mkojo kabisa nikiwa usingizini usiku ila nikakausha hadi kukuche. Nikaja shauliwa kuwa sio vizuri.
Utaharibu kibofu na unajitengenezea hatari ya magonjwa ya figo.
 
Mitu kinachonikera zaidi pia aisee hakuna kitu nachukia kama nimeshalala then natakiwa kwenda kukojoa yaani huwa sipendi.
Kitu ambacho huwa naweza sikia kibanwa mkojo kabisa nikiwa usingizini usiku ila nikakausha hadi kukuche. Nikaja shauliwa kuwa sio vizuri.
Aisee mkuu hilo ni pigo moja kubwa sana kwenye usingizi,huwa natamani kulia kwa hasira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli km toilet mbali weka hata kopo room....unashuka tu na kulenga [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa sina utani kabisa na mkojo.
Ukinibana naamka naenda toi na huku kwetu kulivyo na baridi yaani ukirudi kulala unaanza kutafuta usingizi upya,hapo hadi utengeneze kale kajoto tena kitandani ndipo ulale
 
Yaani kama kuna kitu sipendi ni salamu kusalimiana na watu huwa sipendi kila ukikutana na ndugu yako eti umsalimie inachosha

Tungekuwa tunaanza mazungumzo bila salamu ingekuwa safi
 
Back
Top Bottom