Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Mimi huwa sina utani kabisa na mkojo.
Ukinibana naamka naenda toi na huku kwetu kulivyo na baridi yaani ukirudi kulala unaanza kutafuta usingizi upya,hapo hadi utengeneze kale kajoto tena kitandani ndipo ulale
Dah hayo mateso,mm ningeshaweka kopo langu chini kwa kweli....nikiwa peke yangu sitakagi tabu labda nikilala na mtu ndo itabidi niende toi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mimi sipendi kwenda toilet utashangaa niko busy na mipango yangu mkojo huu hapa najikaza wewe mwisho nashindwa natoka ndukii kama usain bolt
 
Pole sana ni kweli kubana mkojo si nzuri kiafya.siku nyingine kojoa.......πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nipo radhi nisubiri daladala hata nusu saa ila si kupanda daladala iloyojaa
Hata kama ninapoenda Ni karibu.
Labda kwa kuwa unaishi mkoani mama:..siku ukihamia dar hiyo kauli hutoisema labda uwe na usafiri wako
 
Huwa sipendi kuanza kumwambia msichana mambo Ila akiniambia yeye uchangamfu wangu kwake unaanzia hapo
Basi umeambie β€œhabari β€œ maana hii salama ya mambo inamatabaka
 
Kweli km toilet mbali weka hata kopo room....unashuka tu na kulenga [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu nimeifanya enzi hizo mtoto niko kijijiniπŸ˜…πŸ˜…

Kila kitu ni kujizoesha.akijizoesha kukoja mida fulani bsi kila ikifika huo muda ni lazima
 
haya ma website huwa siyakubal..ila sometimes najikuta tu nishaclick [emoji28][emoji28][emoji28]

xvideos.com
pornhub.com
xhamster.com
xnxx.com
Hclips.com
tube8.com
spankbang.com
Drtubber.com
spankwire.com
keezmovies.com
thumbzilla.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…