zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hayo mateso,mm ningeshaweka kopo langu chini kwa kweli....nikiwa peke yangu sitakagi tabu labda nikilala na mtu ndo itabidi niende toiMimi huwa sina utani kabisa na mkojo.
Ukinibana naamka naenda toi na huku kwetu kulivyo na baridi yaani ukirudi kulala unaanza kutafuta usingizi upya,hapo hadi utengeneze kale kajoto tena kitandani ndipo ulale
Mimi kwenye kopo sijawahi na sidhani kama naweza yaaniDah hayo mateso,mm ningeshaweka kopo langu chini kwa kweli....nikiwa peke yangu sitakagi tabu labda nikilala na mtu ndo itabidi niende toi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine usipo salimia utasikia wanasema unajisikia kumbe mwenzao unajionea tabu,ama kweli ubinadamu kazi.Yaani kama kuna kitu sipendi ni salamu kusalimiana na watu huwa sipendi kila ukikutana na ndugu yako eti umsalimie inachosha
Tungekuwa tunaanza mazungumzo bila salamu ingekuwa safi
Kuna kijiji nilienda wakati mdogo basi usiku mafisi,simba lazma watembelee....alaf vyoo ni vya nje yan ilikuwa lazma kila mtu lazma awe na kopo lake,ikifika saa mbili wote ndaniMimi kwenye kopo sijawahi na sidhani kama naweza yaani
Kumbe na wewe umeona ehWengine usipo salimia utasikia wanasema unajisikia kumbe mwenzao unajionea tabu,ama kweli ubinadamu kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na usiombe ukutane na wazee wanao jua kutolea watu macho km mijusi,utatolewa mijicho ww mpaka ujikwae[emoji23]......automatically utajikuta unatoa salaam tuKumbe na wewe umeona eh
[emoji44][emoji1436][emoji1436]Mimi nisipovaa yaani nitakuwa kituko kituko kituko vile vidude vinajichora vinatuna kama sindano aisee
Hata mimi niliwahi kwenda sehemu kama hiyoKuna kijiji nilienda wakati mdogo basi usiku mafisi,simba lazma watembelee....alaf vyoo ni vya nje yan ilikuwa lazma kila mtu lazma awe na kopo lake,ikifika saa mbili wote ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
weeee.... ata cash chukua utume directNimesahau namba yangu ya siri ya bank utanisaidiaje
zimeshajifua 😂😂😂😂Mama yangu anasemaje?😅😅
Pole sana ni kweli kubana mkojo si nzuri kiafya.siku nyingine kojoa.......😅😅😅😅😅😅Me kinachonikera zaidi pia aisee hakuna kitu nachukia kama nimeshalala then natakiwa kwenda kukojoa yaani huwa sipendi.
Kitu ambacho huwa naweza sikia kubanwa mkojo kabisa nikiwa usingizini usiku, ila nikakausha hadi kukuche. Nikaja shauliwa kuwa sio vizuri.
Hii kitu nimeifanya enzi hizo mtoto niko kijijini😅😅Kweli km toilet mbali weka hata kopo room....unashuka tu na kulenga [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app