Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Hayo ndio madhara ya kuwa mlokole au dini kali [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Jimix na walimwengu or else you will be a very fine wife but boring as hell.
Hata wapendwa tu utanikuta naongea nao nikiwa kanisani tu,tukimaliza huduma Sina stori na mtu ila mtu akija kuniongelesha naongea naye vizuri tu.
Tatizo siwezi toka nyumbani eti nimeenda kupiga stori kwa watu.
Simzuii mtu kuja kuongea na Mimi na huwa naongea na watu wa kila aina ila Hadi mtu anifwate mwenyewe.
 
Nani anakuudhi huyo mrembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maudhi na makwazo hayana budi kuja.


Nikiwa shule nilikuwa naudhika karibia kila siku.Unakuta mtu amekukuta rum umetulia unatafakari labda,anakuja anafungua bonge la mziki au anakuja na watu wanaanza kupiga kelele muda wewe umelala..kwangu mimi hii ilikuwa ni zaidi ya kero na hii hali sijawahi kuizoea.
 
Huu ni uongo a.k.a fix,,, wewe huyo hupendi kuongea na simu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simu ambayo huwa napokea ni ya wazazi wangu hasa mama yangu ndiye huwa ananipigia simu kila siku.
Simu nitakayokuja kupokea Ni ya bf/mume wangu..hata akitaka tuongee 24 hrs nitafanya.
Simu nyingine zilizobaki huwa sipokei na nadhani wengi walishaacha kanipigia,,yaani unaweza piga na nikaiona na nisipokee..nikijitahidi basi nitakutumia msg.
 
Tafsiri za wengi hapo zitakuja ni unaringa na una kiburi.
Maskini kumbe wengine ndivyo tulivyo.
 
Nategemea kibao cha "Tunauza mabarafu hapa" kitatundikwa muda si mrefu hapo kwenu. Na muuzaji utakuwa wewe [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Toka nje mabaharia tukuone au utaki kaka zako wale ubwabwa [emoji13]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama mwenyewe alishanishindwa kunitoa nje Kama sitaki kutoka.
Nitatoka pale nitakapotaka Mimi.

Na uzuri nilipofika tu nikamwambia bi mkubwa mapema plan zangu,inayoanza hadi ya mwisho..ndoa iko mwisho kabisa na hapa bi mkubwa anafanya mpango plan zangu za mwanzo zitimie maana nishamwambia bila kutimiza hizo nyumbani kwako sitoki ng'oo.
Halafu juzi amekuja ananiambia "Anne yule rafiki yako mlisoma naye primary anaolewa,mama Yake amenipigia[emoji1787]"nikamjibu tu hongera zake.
 
Ungenipa na andiko lake.
Nikianza kutoa maandiko humu nitageuza huu uzi kuwa wa mahubiri[emoji1787]
Sitaki kufanya hivyo,ila itoshe tu kusema[emoji23] Mhubiri anasema katika sura ya tatu kwamba kila Jambo na wakati wake
Na anaongeza katika mstari wa 11 kwamba kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake.
 
Tafsiri za wengi hapo zitakuja ni unaringa na una kiburi.
Maskini kumbe wengine ndivyo tulivyo.
Hizo nilishazisikia mbona[emoji1787][emoji1787]halafu uzuri wangu mimi huwa Nina misimamo yangu,sipelekeshwi na maneno ya mtu.
Watu baadaye walikuja kunielewa kama ni mpole sana.
Nimerudi kukaa na mama huku Wala si mwenyeji sana maana muda mwingi sijaishi naye.
Nakujua dukani na kanisani tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Last week nimeenda na mama kanisani yaani tumesalimia watu njiani hadi nimekoma,nashangaa tu wanaongea ah ndio binti yako wa mwisho amekuja,wananijua Mimi hata siwajui ah mama anaongea na watu jamani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kubadilika kiaje??
Nifafanulieni ili nisije muonyesha rangi mtoto wa watu atakayekuja kwangu [emoji23][emoji23]
Time will tell u everything mama๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kubadilika kiaje??
Nifafanulieni ili nisije muonyesha rangi mtoto wa watu atakayekuja kwangu [emoji23][emoji23]
Ukiwa mlokole halafu uko vizuri kwa bed mwanaume wako lazima ainjoi..๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…lkni ukiwa mlokole halafu kwa bed miyeyusho...๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…ngoja nicheke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ