desree
Senior Member
- Nov 8, 2018
- 196
- 372
Lazma ninunue mpya sitaki mtumba,thanks kwa kunitoa hofu cwryHapana bana labda kama mtumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazma ninunue mpya sitaki mtumba,thanks kwa kunitoa hofu cwryHapana bana labda kama mtumba
Pumzi yangu ni taa YakeMungu anakuona.
Hili lina ukweliMwanaume atakaekupata atakuwa amepata kilicho bora..ila ukija kubadilika hakuna rangi ataacha kuona[emoji28][emoji28]
Hata wapendwa tu utanikuta naongea nao nikiwa kanisani tu,tukimaliza huduma Sina stori na mtu ila mtu akija kuniongelesha naongea naye vizuri tu.Hayo ndio madhara ya kuwa mlokole au dini kali [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Jimix na walimwengu or else you will be a very fine wife but boring as hell.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani anakuudhi huyo mrembo?
Simu ambayo huwa napokea ni ya wazazi wangu hasa mama yangu ndiye huwa ananipigia simu kila siku.Huu ni uongo a.k.a fix,,, wewe huyo hupendi kuongea na simu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi huruma zangu ni za kijinga ila nashindwa kuziacha.Tatizo ulimuhurumia mshenzi, hurumia watu ambao nao wana huruma na wewe! Ukimuhurumia mtu mbinafsi ni tatizo. Jifunze kusoma tabia za watu hasa wakiwa nacho.
Tafsiri za wengi hapo zitakuja ni unaringa na una kiburi.Simu ambayo huwa napokea ni ya wazazi wangu hasa mama yangu ndiye huwa ananipigia simu kila siku.
Simu nitakayokuja kupokea Ni ya bf/mume wangu..hata akitaka tuongee 24 hrs nitafanya.
Simu nyingine zilizobaki huwa sipokei na nadhani wengi walishaacha kanipigia,,yaani unaweza piga na nikaiona na nisipokee..nikijitahidi basi nitakutumia msg.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nategemea kibao cha "Tunauza mabarafu hapa" kitatundikwa muda si mrefu hapo kwenu. Na muuzaji utakuwa wewe [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Toka nje mabaharia tukuone au utaki kaka zako wale ubwabwa [emoji13]
Ungenipa na andiko lake.God's timing is perfect.
Nikianza kutoa maandiko humu nitageuza huu uzi kuwa wa mahubiri[emoji1787]Ungenipa na andiko lake.
Hizo nilishazisikia mbona[emoji1787][emoji1787]halafu uzuri wangu mimi huwa Nina misimamo yangu,sipelekeshwi na maneno ya mtu.Tafsiri za wengi hapo zitakuja ni unaringa na una kiburi.
Maskini kumbe wengine ndivyo tulivyo.
Hili lina ukweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji817][emoji108]
Ukiwa mlokole halafu uko vizuri kwa bed mwanaume wako lazima ainjoi..😅😅lkni ukiwa mlokole halafu kwa bed miyeyusho...😅😅ngoja nicheke tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kubadilika kiaje??
Nifafanulieni ili nisije muonyesha rangi mtoto wa watu atakayekuja kwangu [emoji23][emoji23]