[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hupendi pesa wacha weeeee,Sipendi kuvaa nguo ya Aina yoyote ile..si ya ndani Wala ya nje.
Sipendi kutembea Basi tu sina namna.
Sipendi kupewa pesa na mpendhi wangu Basi tu ananilazimisha kuzipokea[emoji41]
Naona kabisa wakati wangu ndio sasa, hiko kitu wakati wake ndio huu. Embu funga na kuomba Utafunguliwa haya.Nikianza kutoa maandiko humu nitageuza huu uzi kuwa wa mahubiri[emoji1787]
Sitaki kufanya hivyo,ila itoshe tu kusema[emoji23] Mhubiri anasema katika sura ya tatu kwamba kila Jambo na wakati wake
Na anaongeza katika mstari wa 11 kwamba kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake.
Cheza na umri mama..jitahidi kusoma alama za nyakati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama mwenyewe alishanishindwa kunitoa nje Kama sitaki kutoka.
Nitatoka pale nitakapotaka Mimi.
Na uzuri nilipofika tu nikamwambia bi mkubwa mapema plan zangu,inayoanza hadi ya mwisho..ndoa iko mwisho kabisa na hapa bi mkubwa anafanya mpango plan zangu za mwanzo zitimie maana nishamwambia bila kutimiza hizo nyumbani kwako sitoki ng'oo.
Halafu juzi amekuja ananiambia "Anne yule rafiki yako mlisoma naye primary anaolewa,mama Yake amenipigia[emoji1787]"nikamjibu tu hongera zake.
Eti eeh...sasa nimeshajuaNapendaga kudundwa sana sema hujawahigi kujua😅😅
Siwezi kukudunda mdogo wangu..ila huyo mwingine dawa yake inachemka ikipoa kidogo atakuja kukusimuliaAkinidunda mimi kamwili si kataisha kote[emoji1787]
Ila huyu dada ni [emoji91]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Acha TU nikiona pesa Moyo wangu unachafukwaaa...kinyamaa😜[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hupendi pesa wacha weeeee,
Yap ni kweli mkuu hakuna kama dada😜😜😜Inabidi tu niokoke,la sivyo dada anaweza kususa kunipikia chakula na pia naweza kukosa ile rahaa ya kuletewa chakula mezani na dada na yale maneno ya "kaka njoo tule".Uwiiiiiiiiii, hakuna kama dada ati!
Ngoja ufyatue katoto😅😅Nikija kuwa na mwili mkubwa sijui itakuwaje [emoji16]
Hapa tu nina kimwili hiki ila huwa najihisi mzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa mkubwa si ntashinda nalala muda wote