Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Sipendi kuvaa nguo ya Aina yoyote ile..si ya ndani Wala ya nje.

Sipendi kutembea Basi tu sina namna.

Sipendi kupewa pesa na mpendhi wangu Basi tu ananilazimisha kuzipokea[emoji41]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hupendi pesa wacha weeeee,
 
Nikianza kutoa maandiko humu nitageuza huu uzi kuwa wa mahubiri[emoji1787]
Sitaki kufanya hivyo,ila itoshe tu kusema[emoji23] Mhubiri anasema katika sura ya tatu kwamba kila Jambo na wakati wake
Na anaongeza katika mstari wa 11 kwamba kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake.
Naona kabisa wakati wangu ndio sasa, hiko kitu wakati wake ndio huu. Embu funga na kuomba Utafunguliwa haya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama mwenyewe alishanishindwa kunitoa nje Kama sitaki kutoka.
Nitatoka pale nitakapotaka Mimi.

Na uzuri nilipofika tu nikamwambia bi mkubwa mapema plan zangu,inayoanza hadi ya mwisho..ndoa iko mwisho kabisa na hapa bi mkubwa anafanya mpango plan zangu za mwanzo zitimie maana nishamwambia bila kutimiza hizo nyumbani kwako sitoki ng'oo.
Halafu juzi amekuja ananiambia "Anne yule rafiki yako mlisoma naye primary anaolewa,mama Yake amenipigia[emoji1787]"nikamjibu tu hongera zake.
Cheza na umri mama..jitahidi kusoma alama za nyakati
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hupendi pesa wacha weeeee,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Acha TU nikiona pesa Moyo wangu unachafukwaaa...kinyamaa😜
 
Inabidi tu niokoke,la sivyo dada anaweza kususa kunipikia chakula na pia naweza kukosa ile rahaa ya kuletewa chakula mezani na dada na yale maneno ya "kaka njoo tule".Uwiiiiiiiiii, hakuna kama dada ati!
Yap ni kweli mkuu hakuna kama dada😜😜😜
 
Nikija kuwa na mwili mkubwa sijui itakuwaje [emoji16]
Hapa tu nina kimwili hiki ila huwa najihisi mzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa mkubwa si ntashinda nalala muda wote
Ngoja ufyatue katoto😅😅
 
Back
Top Bottom