Nipambanie pambanie basi na ww au hutaki wali wa shughuli.😀Endelea kukaza mkuu..msifie sifie kidogo😅😅
KafanyajeMama yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona kabisa wakati wangu ndio sasa, hiko kitu wakati wake ndio huu. Embu funga na kuomba Utafunguliwa haya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza kuoga oga kina punguza mwili..usiwe unaoga mkuu[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cheza na umri mama..jitahidi kusoma alama za nyakati
Mwee afadhali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siwezi kukudunda mdogo wangu..ila huyo mwingine dawa yake inachemka ikipoa kidogo atakuja kukusimulia
Wachagga hao[emoji14][emoji2094]Utakuwa hauko romantiki jirani..
Utakua unamfanaisha, sio mla chupa kwa kweli, kuhusu dish washer ipo shida umeme wa bongo sometimes ni mgao, halafu pia wakati mwingine mazoea, yani mimi huku napika, same time naosha vyombo fasta, mara naanza kusafisha jikoni ilimradi tu nijishughulishe pasipo kuwa na sababu[emoji3][emoji3][emoji3]Cha kufanya mie ntaongea na Mr. maana huwa tunakula nae chupa hapa 7 eleven! Anunue mashine bana ni laki 4 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaona dada zangu wanavyohangaika na diet za kupunguza miili[emoji1787]Ngoja ufyatue katoto[emoji28][emoji28]
Nipambanie pambanie basi na ww au hutaki wali wa shughuli.[emoji3]
Yesu wangu [emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wali nautaka mkuu lkni changamoto ni kwamba anaweza kunitandika mahubiri bila kutegemea nikajikuta nimesahau kilichonipeleka[emoji28][emoji28]
Mkuu Jana hukunijibu swali langu.Kafanyaje
Yetu wetu soteYesu wangu [emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawaahidi sitawahubiria[emoji3]Yetu wetu sote
kwa kweli itabidi niokoke mapema ili nirahisishe jambo🤣🤣Nawaahidi sitawahubiria[emoji3]