Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Nipambanie pambanie basi na ww au hutaki wali wa shughuli.😀
Wali nautaka mkuu lkni changamoto ni kwamba anaweza kunitandika mahubiri bila kutegemea nikajikuta nimesahau kilichonipeleka😅😅
 
Cha kufanya mie ntaongea na Mr. maana huwa tunakula nae chupa hapa 7 eleven! Anunue mashine bana ni laki 4 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Utakua unamfanaisha, sio mla chupa kwa kweli, kuhusu dish washer ipo shida umeme wa bongo sometimes ni mgao, halafu pia wakati mwingine mazoea, yani mimi huku napika, same time naosha vyombo fasta, mara naanza kusafisha jikoni ilimradi tu nijishughulishe pasipo kuwa na sababu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nipambanie pambanie basi na ww au hutaki wali wa shughuli.[emoji3]
Wali nautaka mkuu lkni changamoto ni kwamba anaweza kunitandika mahubiri bila kutegemea nikajikuta nimesahau kilichonipeleka[emoji28][emoji28]
Yesu wangu [emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom