Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ila mm napenda mtu straight yan ukija ukaniambia unahitaji companionship na ukaniweka wazi kwa kila kitu,aisee i always appreciate it na lazma uwe rafiki yangu wa kudumu.

Honesty is the best policy.
Ukiambiwa inahitajika Entaglements pia uelewe mapema hivyo hivyo maana hapo ndipo tatizo la uongo linapoanziaga. Wanawake wengi hawataki kusikia hilo wako radhi udanganye tu ndio watakuelewa.

Kimsingi watu wengi hawaelewagi, mahusiano sio lazima yawe based na kusema unampenda mtu ilihali unamuongopea. Wengi wanataka no strings attached ila wanaanza na uongo mwisho mnasumbuana kihisia.
 
Cha bure maneno tu,,,mjini hapa! Ntakuwa nazifata hapo hapo ulipo na kuzileta zimepigwa pasi ila mtanilipa.
weee bwana weeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚m sipendi kufua ila nikifuliwa naona km hazitakati, alafu wengine tushazoea unanyoosha ndo unavaaa πŸ˜‚
 
Hio biashara ya kwenda kwenye majumba ya watu ili ukapige story mwenyewe siipendi. Ila sikubaliani kabisa na wewe kuwa anti-social.
 
Haaa, yani we hata mziki hupendi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo kwenye binti wa mwisho hapo kuna namna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hio biashara ya kwenda kwenye majumba ya watu ili ukapige story mwenyewe siipendi. Ila sikubaliani kabisa na wewe kuwa anti-social.
Nashiriki shughuli muhimu tu kama misiba,shida na magonjwa.
Kwenye sherehe huwezi kunikuta
 
Dah, sasa mie nataka nikufundishe kitu leo! Pokea simu yangu ntakupigia saa 3 hivi usiku.
 
Dah, sasa mie nataka nikufundishe kitu leo! Pokea simu yangu ntakupigia saa 3 hivi usiku.
Yaani tena usiku ndio kabisa
Kanuni yangu huwa siongei na simu usiku.
Bora hata mchana ninaweza nitajitahidi nikapokea.
Malezi ya kitoto yalishaniathiri hadi sasa bado najiona Mtoto,huwa nawaza nikipokea simu usiku nitaonekanaje!
Hata hivyoo sipendi tu kuongea na simu labda kuwe na hizo exceptions
 
[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…