Hizo nilishazisikia mbona[emoji1787][emoji1787]halafu uzuri wangu mimi huwa Nina misimamo yangu,sipelekeshwi na maneno ya mtu.
Watu baadaye walikuja kunielewa kama ni mpole sana.
Nimerudi kukaa na mama huku Wala si mwenyeji sana maana muda mwingi sijaishi naye.
Nakujua dukani na kanisani tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Last week nimeenda na mama kanisani yaani tumesalimia watu njiani hadi nimekoma,nashangaa tu wanaongea ah ndio binti yako wa mwisho amekuja,wananijua Mimi hata siwajui ah mama anaongea na watu jamani.