Mimi naandika bossMhm!Ila we unaandika texts ndefu inaonekana hauna maringo wale kina slay queens
Unakuta ukichat nae kuanzia asubuhi mpaka jioni ye ameandika maneno 20 we umeandika maneno 10000[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni furaha juu Mbinguni,Malaika wanashangilia kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja akiokoka[emoji4]Itabidi unisimamie kwenye hili.
Nimeweka kambi yaani utadhani nini sijui[emoji1787]Umeutendea uzi haki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee usiniambie [emoji28][emoji28]
[emoji1787]Mwache jirani yangu[emoji28][emoji28]
Mungu wangu[emoji23]Kulala usingizi..yani basi tu huwa inabidi
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe[emoji7]Utakua unamfanaisha, sio mla chupa kwa kweli, kuhusu dish washer ipo shida umeme wa bongo sometimes ni mgao, halafu pia wakati mwingine mazoea, yani mimi huku napika, same time naosha vyombo fasta, mara naanza kusafisha jikoni ilimradi tu nijishughulishe pasipo kuwa na sababu[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha! Umeshavitaja vyote auNimeweka kambi yaani utadhani nini sijui[emoji1787]
AiseeSimu ambayo huwa napokea ni ya wazazi wangu hasa mama yangu ndiye huwa ananipigia simu kila siku.
Simu nitakayokuja kupokea Ni ya bf/mume wangu..hata akitaka tuongee 24 hrs nitafanya.
Simu nyingine zilizobaki huwa sipokei na nadhani wengi walishaacha kanipigia,,yaani unaweza piga na nikaiona na nisipokee..nikijitahidi basi nitakutumia msg.
upambe sasa 🤣Woooooooooozaaaaaaah🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️
[emoji23][emoji23][emoji23]Wacha weeee