Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Mhm!Ila we unaandika texts ndefu inaonekana hauna maringo wale kina slay queens

Unakuta ukichat nae kuanzia asubuhi mpaka jioni ye ameandika maneno 20 we umeandika maneno 10000[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naandika boss
 
Utakua unamfanaisha, sio mla chupa kwa kweli, kuhusu dish washer ipo shida umeme wa bongo sometimes ni mgao, halafu pia wakati mwingine mazoea, yani mimi huku napika, same time naosha vyombo fasta, mara naanza kusafisha jikoni ilimradi tu nijishughulishe pasipo kuwa na sababu[emoji3][emoji3][emoji3]
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe[emoji7]
 
Simu ambayo huwa napokea ni ya wazazi wangu hasa mama yangu ndiye huwa ananipigia simu kila siku.
Simu nitakayokuja kupokea Ni ya bf/mume wangu..hata akitaka tuongee 24 hrs nitafanya.
Simu nyingine zilizobaki huwa sipokei na nadhani wengi walishaacha kanipigia,,yaani unaweza piga na nikaiona na nisipokee..nikijitahidi basi nitakutumia msg.
Aisee
 
Back
Top Bottom