Sawa.Hujanijibu swali langu nililokuuliza
Ukitaka kujua yote tengeneza kwanza ushirika na MUNGU,Roho Mtakatifu atakupa hayo macho ya ndani na utaona.
Kumbe hutaki kuwaona!Sawa.
Sitaki kuwaona, sasa kama wewe huniambii ulivyo waona wakoje huoni nikikwambia nataka kuwaona sitaweza kuwaona ?
Majibu yako yamenifanya nisitake kuyaona sababu hayaja nyooka.Kumbe hutaki kuwaona!
Unawaulizia wa nini kama huna shida nao?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa Chakorii sio naokoka halafu anachukuliwa na mwingine.
Uliuliza maswali ukiwa na majibu yako kichwani!?Majibu yako yamenifanya nisitake kuyaona sababu hayaja nyooka.
Ukiniambia ulivyo waona wakoje wakoje na mimi nitakwambia nataka niwaone.
Huhuuuuuuuuuuuuπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈ Huo ubwabwa Shem darling ni lini?halafu Capital G naomba umjengee mdogo wangu Saint Anne msituni..hapendi ushirikiano na binadamu..Dada Chakorii nimepata mume[emoji14]
Capital G naomba ujenge nje ya mji kabisa.
Huku uswahilini nateseka
Ahaaa kumbeee sasa ungeseme hivyo jirani..Sasa tupo tunapinduana halafu unachomekea story nje ya mada tunaanzaje kuwa romantic... Leta miguno hile hile na sio mazungumzo
Huogopi kustukizwa na ada yako ya mwezi!@Chakorii, again[emoji28][emoji28]
Hapo kwenye kuvaa kyupi tupo wengi, mimi sipendi naona tu kama iniwekea uzio, nikiwa nyumbani sivai kabisaaa labda niwe natoka au siku niamke na mood ya kuvaa
Sipendi pia kuosha vyombo na kupasi surali za Mr, yani naona kama ni kazi inayonifanya nijiskie naonewa sema tu sina jinsi inabidi nifanye
Sipendi pia kutoka au kuzurura kama Saint Anne, tena kama nipo likizo naweza kukaa ndani tu hata nje ya geti sitoki kama mwali