Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Majibu yako yamenifanya nisitake kuyaona sababu hayaja nyooka.

Ukiniambia ulivyo waona wakoje wakoje na mimi nitakwambia nataka niwaone.
Uliuliza maswali ukiwa na majibu yako kichwani!?
Kulikuwa na haja gani ya kuuliza ikiwa una majibu yako na huna shida ya kuwaona?

Si kazi yangu kufanya, kukupersuade utamani kuwaona..siyo maonyesho ya fasheni haya kwamba natafuta watu waone.
Utawaona ukiwa na nia na atakayekusaidia kuona ni Roho Mtakatifu na wala si Mimi

Majibu yangu ni hayo na yamenyooka kabisa,kama ulitegemea majibu mengine basi pole.
 
Sasa tupo tunapinduana halafu unachomekea story nje ya mada tunaanzaje kuwa romantic... Leta miguno hile hile na sio mazungumzo
Ahaaa kumbeee sasa ungeseme hivyo jirani..
Ila kuongea wakati mnapiga gemu ni nzuri sana...😅😅ukute sauti inayotoka hapo ni ile nyororo🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️Shishshshhshsh..mmm hahahaha..ooo aaaa yeah..😅😅😅
 
@Chakorii, again[emoji28][emoji28]

Hapo kwenye kuvaa kyupi tupo wengi, mimi sipendi naona tu kama iniwekea uzio, nikiwa nyumbani sivai kabisaaa labda niwe natoka au siku niamke na mood ya kuvaa

Sipendi pia kuosha vyombo na kupasi surali za Mr, yani naona kama ni kazi inayonifanya nijiskie naonewa sema tu sina jinsi inabidi nifanye

Sipendi pia kutoka au kuzurura kama Saint Anne, tena kama nipo likizo naweza kukaa ndani tu hata nje ya geti sitoki kama mwali
Huogopi kustukizwa na ada yako ya mwezi!
 
Back
Top Bottom