Hii ndio ile "i don't do boys katika lugha ingine" ππππππππ umenishinda weye lol! Hahahahaha
Hii ndio ile "i don't do boys katika lugha ingine" πππ
Tunagawa vizuri tu kuliko hata watu wa 20's [emoji28][emoji28][emoji28]Hivi wa umri huo bado huwa wanagawa utamu Mkuu? [emoji12]
@Extrovert, tuliona jua siku nyingi mwanangu, sema tu sisi ni wale wabibi wa kidigitaliHii ndio ile "i don't do boys katika lugha ingine" [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] BAK, watu tumekula chunvi mingi
Sevente faivu kwa lugha nyingine75? Kama upo sahihi sawa.
Tunagawa vizuri tu kuliko hata watu wa 20's [emoji28][emoji28][emoji28]
Umeona kazi sasaπ π nifanye na mimi niwe rafiki yako niwe nakupigia kampeni mkuu..π π π hakuna rangi utaacha onaπ π ni kushadadia mwanzo mwenga π πHahahahah upo kama best yangu mmoja huyo πππ akiamua kukisifia kitu hapo hajakiona aisee utastaajabu ukija kukiona sasa. Cha kawaida ila hio kampeni iliopigwa ni ya kiwango cha standard gauge πππ yani na hela ya advance unaweza ukatoa..
Sipendagi kabisa kuelekezwa vitu hasa vile ambavyo ninaweza kuvifanya bila maelekezo..
For instance somebody tells you "ukimaliza kuangalia TV uzime"
Sasa inamaana mimi sijui
Umeona eeh!inakeraUkimaliza kula ondoa sahani mezani [emoji23][emoji23]
Mamangu mdogo ndo mwenye tabia hiyo aise..Sipendagi kabisa kuelekezwa vitu hasa vile ambavyo ninaweza kuvifanya bila maelekezo..
For instance somebody tells you "ukimaliza kuangalia TV uzime"
Sasa inamaana mimi sijui
Pole sana mammie hako katabia bana kanakera kiukweliMamangu mdogo ndo mwenye tabia hiyo aise..
Siku moja nilienda kumtembelea kwake siku hiyo kwangu palinichosha kukaa pekee yangu ilikuwa Ijumaa au jmos hivi
[emoji15]usiku anaenda kulala eti ββChakorii ukimaliza uzime tvβaise niliishia kucheka na kumwambia mama jamani..nikajiwazia hivi na miaka yangu hii 30 na ushee sijui kweli kuwa tv inazimwa wakati wa kulala..
Asubuhi kulivyokucha tu nikafanya baadhi ya shughuli..nilipomaliza nikajiomdokea zangu beach,usiku nikajitoa out mwisho nikarudi kwangu kwenye ukimya wangu...
Sipendagi mtu aniite we dogo sijui we we unapendaga ka mtu kakuite demu[emoji4]Nitaishia kucheka tu lakini moyoni nakerekwa mfano hakuna
[emoji2955][emoji2955][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sikuwachi mimi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]