Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Sipendi mizunguko isiyo na ulazima

Sipendi kupika nikiwa ghetto

Sipendi kuosha vyombo na sabuni ya kipande

Sipendi kuvaa vaa masweta ila inanilazimu sababu ya mkoa niliopo
 
sipendi kukatisha usingizi saa10 ajili ya kujiandaa kwenda job, jambo hili lanikwaza sana ila kwa kua hakuna jinsi nafanya tu
 
Umeona kazi sasa😅😅nifanye na mimi niwe rafiki yako niwe nakupigia kampeni mkuu..😅😅😅hakuna rangi utaacha ona😅😅ni kushadadia mwanzo mwenga 😅😅
Utaskia jamaa ana michongo kinoma yani ni Engineer kule Dodoma. Ukija mcheki mwamba mwenyewe hata deal ya laki 3 hatuwezi fanya 🤣🤣🤣
 
Kutawaliwa na liserikali la Maccm, ni jambo linalonichefua sana
 
Ndio maana unanenepa ovyo
 
Hamna kitu sipendi kama kula mshahara wote week moja tu baada ya kuingia ila ndo ila ndo ivyo kilimanjaro lager ni tamu ntafanyaje sasa. Lazma kurudishia mwili shukrani kidogo kwa kazi ngumu . All in all we are sure of where we are coming from and where we are but we are not sure about tomorrow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…