Nipo dar mkuu [emoji28], yaani naona ni mateso makubwa sana acha tu.Sasa usiombe uchukie kuoga katika jiji la daslam[emoji28][emoji28]
Napenda kupika ila sipendelei kupika msosi then nile alone, inanibidi tu kwa kuwa hamna namna.Kupika nitakusaidia maana ndio kitu napenda kuliko zote.
Kuonsha vyombo sipendi ila hakuna namna.
Hama uko mama uje huku kwetu ..
Kwa pamoja tu jipe pole hakuna namna
Club siwezi kwenda wallah[emoji1787]Mama we Leta maringo tuu...[emoji28][emoji28]kama Hujaanza kwenda na club ..kuna vitu va kupewa kipaumbele madam
[emoji1738][emoji1738][emoji1738][emoji1738][emoji1323][emoji1323][emoji1323]Weeee.....wewe utasubiri kidogo...unajua heka heka za mdada ambae ana 30βs na hana mtoto,mchumba wala mume...
Madam tuendelee kuchat tu maana[emoji28][emoji28] acha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weeee.....wewe utasubiri kidogo...unajua heka heka za mdada ambae ana 30βs na hana mtoto,mchumba wala mume...
Madam tuendelee kuchat tu maana[emoji28][emoji28] acha
Huyo baharia ana binti safi kabisa mwenye characters kama zangu na anatokea hukuhuku nyanda za juu kusiniHapa safi sasa..kwahiyo Extrovert hana chake sio
Mungu anipe nini Mimi[emoji1787]Woooooooooooozaaaaaaaaaaaaahhhhhh[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
OkeeSawa hitifaki imezingatiwa
Ohooooo basi sawa...kufua atakuwa anakusaidia Saint Anne anapenda sana kufuaNapenda kupika ila sipendelei kupika msosi then nile alone, inanibidi tu kwa kuwa hamna namna.
Napenda kuosha vyombo na sabuni ya maji, hapo nitaosha wee.
Huko kwenu ndiyo kwetu lakini chuo kilivyonipeleka mkoani nikajikuta napendelea zaidi mkoani narudigi kusalimia tu huko π
Sipendi kufua, yan sipendi jamani.
Ongeza 10 hapoWe bado dogo, kama mkubwa basi uko 24 now.
Yeye atanisaidia vyomboOhooooo basi sawa...kufua atakuwa anakusaidia Saint Anne anapenda sana kufua