Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Baba unaua sana😂😂😂
16001949866303318962827140677942.jpg
 
Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...[emoji3344][emoji3344]
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..[emoji28][emoji28]tujifurahishe tu hakuna namna[emoji1635][emoji1635][emoji1635]

Huo ulikuwa ni utangulizi tu [emoji28][emoji28]ngoja nirudi kwenye uzi sasa[emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi[emoji85]kuvua na kuvaa nguo[emoji1787][emoji1787]ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda[emoji28][emoji28][emoji28].

Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna[emoji16][emoji16]

Karibuni wapendwa [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
sipend kukojoa aise
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kweli nitoke nyumbani kwenda kwa mtu nikiwa sina hata mia kweli[emoji1787]
Mama we Leta maringo tuu...😅😅kama Hujaanza kwenda na club ..kuna vitu va kupewa kipaumbele madam
 
Aisee mimi hakuna kitu nachukia kama kuoga na nkilala bila kuoga sipati usingizi,
Naweza kaa hata masaa mawili najifikiria naanzaje kuoga.
 
Back
Top Bottom