Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
We bado dogo, kama mkubwa basi uko 24 now.[emoji23][emoji23][emoji23]wa 30's ndio sisi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bado dogo, kama mkubwa basi uko 24 now.[emoji23][emoji23][emoji23]wa 30's ndio sisi sasa
Niko chupa, page ya McGarab ndio kimbilio laoBaba unaua sana😂😂😂
Baba unaua sana😂😂😂
sipend kukojoa aiseHabari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...[emoji3344][emoji3344]
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..[emoji28][emoji28]tujifurahishe tu hakuna namna[emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Huo ulikuwa ni utangulizi tu [emoji28][emoji28]ngoja nirudi kwenye uzi sasa[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi[emoji85]kuvua na kuvaa nguo[emoji1787][emoji1787]ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda[emoji28][emoji28][emoji28].
Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna[emoji16][emoji16]
Karibuni wapendwa [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Mama we Leta maringo tuu...😅😅kama Hujaanza kwenda na club ..kuna vitu va kupewa kipaumbele madam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kweli nitoke nyumbani kwenda kwa mtu nikiwa sina hata mia kweli[emoji1787]
Asante pole na wewe🙄 huko nikujiendekeza...pouleee
Sawa hitifaki imezingatiwaYeah
Wewe fuata tu utaratibu Mimi nipo tayari.
Woooooooooooozaaaaaaaaaaaaahhhhhh🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂🥂🥂Will Saint Anne marry Mr.@orturoo
Aksante kushkuruAsante