zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Nisaidie Chakorii we ukikutana na ka lady kaambie characters zangu age tukiendana nataka nioe mapema sisubiri mpaka nikue[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]chizi wewe
Naogopa nitamtafunaWeka bekitatu ndani
Aah!sa nimeacha shule kilichobaki si kuoa [emoji6][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kijana wa umri wako wote ni wanafunzi...utashtakiwa bureee[emoji28][emoji28]
Andaeitini huyoMiaka yako ni mingapi vile ulisema[emoji28][emoji28]
Kaa mkaoWeeee msiniambie...🤝🤝🤝
We unaijua ibaki siri yako niliona unaitaja sitaki wajue Ila ni between 18-20Miaka yako ni mingapi vile ulisema[emoji28][emoji28]
Anatuchora tu huyoKumbe anatuchora tuu..[emoji28][emoji28]dawa yake iko jikon
😀😀Ukimtafuna ndo vizuri unampandisha cheo..anakuwa yfu
Ntakukuta kule usiku wa ma8Okee
[emoji848]Si kuna wanaojitokeza humu
Hapa nilipo nilishaanza kusinziaNtakukuta kule usiku wa ma8
MnoHuyo a subiri sana aise