Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]chizi wewe
Nisaidie Chakorii we ukikutana na ka lady kaambie characters zangu age tukiendana nataka nioe mapema sisubiri mpaka nikue
 
Katika vitu naonaga kero ni kukaa saloon kunyolewa

Mbaya zaidi nikikaaga kunyolewa basi kinyozi atakavyojibalaguza hapo unakuta natumia nusu saa hadi dk 45 yani hadi najiuliza wanalima huko kichwani au???

Kingine kuosha vyombo yani hii inanifanya kuwa mteja wa kula restaurant ili kuskip hii task.

Kufua pia ni kero japo at least hii unaweza kupata msaada
 
Back
Top Bottom