kati ya vyote...hapo umeniacha hoi aiseh πππ1.ku puu.
2.Kula, natamani tumbo lingekua na zipu unafungua unamwagia chakula unafunga zipu,mdomo ninywee bia tu
3. Kuchangamana na watu, napenda kukaa mwenyewe, mara nyingi majirani wanajua nasafiri kumbe ni kazini then ndani na mute tu....Aisee kingine naombwa sana hela na watu hata wengine siwajui inaniboaga sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama akiwa nayo...narudi a tena mbaba mkubwa kwako mtakatifu..
Itakuwa ni mwendo wa kutembezewa pipe tu[emoji28][emoji28][emoji28]bongo nyoso
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kubadilika kiaje??
Nifafanulieni ili nisije muonyesha rangi mtoto wa watu atakayekuja kwangu [emoji23][emoji23]
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji7]Hadi nimesisimuka niliposoma comment hii.Saint mimi siku focus sana kwenye hilo eneo la kubadilika, nilikubaliana na Chakorii aliposema "Mwanaume atakaekupata atakuwa amepata kilicho bora"
Hata hivyo, kwenye kubadilika ni kweli huyo "mwamba" ata suffer...kwa namna ulivyo (the way umeji describe) utakua ume set the bar too high kwa ndugu yetu, kitu ambacho mabadiliko madogo tu yatamuwia vigumu ku cope.
All in all, mume wako pia atakua na jukumu la kuhakikisha hubadiliki, I mean...why should you change for the worse if you're getting the right treatment from the man you love?
Umeelezea Vizuri sana mkuu..unaoffer yangu aiseh..Saint mimi siku focus sana kwenye hilo eneo la kubadilika, nilikubaliana na Chakorii aliposema "Mwanaume atakaekupata atakuwa amepata kilicho bora"
Hata hivyo, kwenye kubadilika ni kweli huyo "mwamba" ata suffer...kwa namna ulivyo (the way umeji describe) utakua ume set the bar too high kwa ndugu yetu, kitu ambacho mabadiliko madogo tu yatamuwia vigumu ku cope.
All in all, mume wako pia atakua na jukumu la kuhakikisha hubadiliki, I mean...why should you change for the worse if you're getting the right treatment from the man you love?
Kama vile...?? Funguka πVingi tu
Uwe unasoma comments zote kabla hujadandia kutoa replyKama vile...?? Funguka [emoji57]
Kumbe nawe "Geti kali" πNikisema sikupendi utafanyaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi buana sipendi kutembea tembea,yaani kutembea kwa namna yoyote ile iwe kwa gari,miguu nk.
Natamani ningekuwa na kila kitu nitoke j2 tu kwenda kuabudu.
Nimesoma jamani dada yangu...Uwe unasoma comments zote kabla hujadandia kutoa reply
Mimi Mtoto wa uswahiliniKumbe nawe "Geti kali" [emoji23]
Usijali, hata mi' nipo hivyo, ila siku hizi nimeanza kupenda kusafiri-safiri kwa daladala na mwendokasi.