Saint mimi siku focus sana kwenye hilo eneo la kubadilika, nilikubaliana na Chakorii aliposema "Mwanaume atakaekupata atakuwa amepata kilicho bora"
Hata hivyo, kwenye kubadilika ni kweli huyo "mwamba" ata suffer...kwa namna ulivyo (the way umeji describe) utakua ume set the bar too high kwa ndugu yetu, kitu ambacho mabadiliko madogo tu yatamuwia vigumu ku cope.
All in all, mume wako pia atakua na jukumu la kuhakikisha hubadiliki, I mean...why should you change for the worse if you're getting the right treatment from the man you love?