Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Anne mama...kwa maisha uliyoyaishi mpka sasa ndo kwanza uko 1/4.bado hujakutana na vimbwanga vya ulimwenguni.

Usiseme siwezi kubadilika..sama naomba Mungu anisaidie
Ila ukweli ni kwamba aina ya watu kama wewe siku wakija kubadilika..wanakuwaga mafia..

Nazungumzia yale majanga ya ukubwani ndio yanayobadilisha mtu.mfano mdogo tu unamkuta mume wako wa ndoa red handed na rafiki yako wa uchungu kabisa yani yule kipenzi wanafanya mapenzi 😅😅jamani ngoja niendelee kuchat tu..

Siombei ubadilike ila chunga maneno yakutokayo maana Shetani uingilia sehemu ndogo sana..zidi kumuomba Mungu mama..😍😍😍😍
 
Amen nitazidi kumuomba Mungu

Ila ujinga naona nilishafanyaga huko nyuma..nimewahi pitia maumivu pia[emoji4]

Ila nikiwakuta hivyo wallah nawavunja miguu
 
Amen nitazidi kumuomba Mungu

Ila ujinga naona nilishafanyaga huko nyuma..nimewahi pitia maumivu pia[emoji4]

Ila nikiwakuta hivyo wallah nawavunja miguu
Weee usiniambie 😅😅😅mwandiko wako inaonyesha umepitia vijimaumivu madam..hujapitia majeraha ya maumivu

Kabla na baada ya kuwavunja miguu...kile moyo utakachoamua...ndio mabadiliko niyasemayo
😅😅😅Mama bora tuchat tu..
 
Nadhani nitazimia hiyo siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We dada nimepitia maumivu makali [emoji1787]
 
Nadhani nitazimia hiyo siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We dada nimepitia maumivu makali [emoji1787]
Bora uendelee kucheka tu hakuna namna..
Maana hata sikuelewi 😀😀
 
Mtoto punguza ma[emoji3590][emoji3590]
Usiniite mtoto unatafuta kasababu nisikupende tu but honestly
Love is paradise,
Once you love no otherwise,
Love gets sweat like Mayonise,
To you I won't act like Harmonize,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…