Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Kuwa Padri mkuu
ndo nnashindwa sasa
Najikuta nnauhitaji zaidi wa kungonoka kuliko ila nkishamaliza sasa😌😌😌
Ila hata mapadri wanaiba😩😩😩
Ila MUNGU muachen tu, cjui alifikilia nn kuweka kitu hii afu kaificha😜😜😛
 
ndo nnashindwa sasa
Najikuta nnauhitaji zaidi wa kungonoka kuliko ila nkishamaliza sasa😌😌😌
Ila hata mapadri wanaiba😩😩😩
Ila MUNGU muachen tu, cjui alifikilia nn kuweka kitu hii afu kaificha😜😜😛
Hivi kumbe huwaga ni tamu ee
 
Sipendi kusafiri.
Huwa nasafiri basi tu unakuta Safari ni ya lazima.
Safari ikikaribia nawaza hadi nakonda.

Sipendi kuongea na simu.
Kuna muda inaweza iite na nisipokee na ninaiona kabisa.
Mara moja moja sana nalazimika kupokea.
Duh yaani hupendi kusafiri, pole yako!
 
Back
Top Bottom