Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Sipendi sana kukuna kichwa / kupiga mkono ..kuwa mwanacha wa chapu...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila kukaa nyumbani kumenikinga na mengi sana...yaani huwa nawaza kama ningekuwa mzururaji huenda ningekuwa nishaharibika kitambo.

Japo muda wa kuzurura kutafuta hela umefika
Unaweza tafuta kazi zinazoendana na personality yako ukaendelea kuenjoy maisha....
mfano:virtual assistant,ethical hacking,full stack developer na greenhouse and vertical farming unazalisha mbogamboga mchicha,chinese etc na maisha yanaenda 🙂
 
Unaweza tafuta kazi zinazoendana na personality yako ukaendelea kuenjoy maisha....
mfano:virtual assistant,ethical hacking,full stack developer na greenhouse and vertical farming unazalisha mbogamboga mchicha,chinese etc na maisha yanaenda 🙂
Akhsante kwa kunipa wazo zuri
Nitafanyia kazi
 
Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...[emoji3344][emoji3344]
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..[emoji28][emoji28]tujifurahishe tu hakuna namna[emoji1635][emoji1635][emoji1635]

Huo ulikuwa ni utangulizi tu [emoji28][emoji28]ngoja nirudi kwenye uzi sasa[emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi[emoji85]kuvua na kuvaa nguo[emoji1787][emoji1787]ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda[emoji28][emoji28][emoji28].

Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna[emoji16][emoji16]

Karibuni wapendwa [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Asili yako ni uchafu mkuu. Maana hakuna namna
 
Umeelezea Vizuri sana mkuu..unaoffer yangu aiseh..

Anza na [emoji1635]

Naam mkuu, cheers! sasa wacha nijichagulie hiyo offer kabisa!

Ni hivi, siku uki post picha yako kule jukwaani pendwa pa ku'selfika' basi uni tag kabla hujaifuta, please 😉
 
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji7]Hadi nimesisimuka niliposoma comment hii.
Kweli hakuna haja ya kubadilika vibaya kama ananitreat vizuri


Hata asiponipa right treatment sibadiliki
Mwanaume utakayekuja jua tu kuwa nikikupenda sikuachi ng'oo,fanya ujinga wote tutanyooshana tu[emoji23]

Ubarikiwe sana mtumishi mwenzangu
 
Back
Top Bottom