Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Kumbukumbu zangu zinanionesha nilikuja hapo kwa Kasim, nikakutana na padlock.

Nilikakasirika nusu niku report kwa mods
🤣🤣🤣🤣🤣sasa mbona hukuniambia jamani😂
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Ooh, bask ni fair kusema hili limeisha.

Chakorii ni mtu wangu wa nguvu sana mno...

Tena anaweza hata kuning'ata sikio na tips kadhaa za 'kumvaa' mtakatifu
Subiri aje uone anavyotiririka hapa purukushani za malastborn🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Aisee huyu Saint Anne hapendi kila kitu, hiyo ni changamoto, pengine kwenye afya ya akili
Comment Yangu ya kwanza kwenye huu uzi nilisema naogopa kuandika maana nitaonekana mtu wa ajabu, nisivyovipenda ndivyo wengi hupenda.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom